*HABARI NJEMA*
VKP (Real Estate) Company (yenye usajili no. *299964*) iliopo mbezi beach tang bovu ina huduma zifuatazo;
kukopesha mashamba na viwanja kwa bei nafuu bila riba wala dhamana...
Kiwanja kipo eneo zuri maji ..barabara na umeme ni uhakika..kipo eneo la kisasa radio mwangaza Dodoma mjini..kina square mtre 2800 ..bei yake ni 30 million top..call/watsapp kwa maelezo zaidi
Offer ya kiwanja kwa siku tatu tu Mwembe mtengu kwa shillingi millioni moja na laki mbili ukubwa wa miguu 27 kwa 23 ila hati bado haijatoka ina makabidhiano ya serikali ya kijiji...mwenye...
Nauza kiwanja jijini Mwanza kipo maeneo ya Nyamhongoro majengo mapya. Kina eneo la 487 za mraba kiko prime area. Bei ni shilingi 10/=mil. Kina documents zote. Kwa mawasiliano piga 0784933374
Habarini za usiku wa Leo.kiwanja chenye title ya industrial kinauzwa kunduchi kama unaelekea bahari beach karibu na chuo cha usalama.kina sq m 7400.ambae atapenda kukiona au kujua bei anicheki
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kilomo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Kwa atayehitaji kukatiwa ruksa, sema kuanzia heka moja na...
Umuofia kwenu!
Kiwanja chenye ukubwa wa Ekari 1.5 kinauzwa
Kiwanja kipo kijiji cha Mwakalundi,umbali wa kilometre 4 toka Buswelu Wilayani.Kimetizamana na barabara kuu na kinafaa kwa...
Nina eneo la ukubwa wa hekari 2 linafaa kwa makazi na si kilimo,lipo maeneo ya Kisemvule-Mpera wilaya ya Mkuranga,lipo barabarani kabisa usafiri wako binafsi unafika.
Bei 12 Milioni.
0712 318 315
Habari zenu wapendwa, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kusukuma gurudumu la maisha.
Nisingependa kuweka personal life yangu hapa, sema imenibidi kulingana na hali halisi...
Habari zenu wapendwa, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kusukuma gurudumu la maisha.
Nisingependa kuweka personal life yangu hapa, sema imenibidi kulingana na hali halisi...
Eneo kubwa la hekari moja linauzwa lipo mabwe pande kilometa 5 kutoka bunju b stendi umeme unapatikana pamoja na maji
Serious buyers 0657227370 tuma sms whatsapp au call me..
SALAMU NYINGI KWENU,
Kwa wale wanaotamani kuwa na makazi Morogoro, kuna jirani yangu anauza kiwanja kipo Morogoro mjini, Kata ya Mlimani, mtaa wa Kikundi.
kwa yeyote mwenye uhitaji huo ani-PM...
kiwanja kinauzwaa urefu fut 50,upana fut 30, kwa sh.2000000 /= kamili
Mazungumzo yapo.
Kipo Mbande mbagala
0755155782 kwa mazungumzo zaidi.Pamoja na picha.
Ninauza kiwanja, kipo Mbezi Marambamawili, Mtaa wa Mzalendo, kipo eneo kwa makazi na biashara za aina yoyote.
Ukubwa ni : 26" x 20"
Bei: Tutaelewana
Mawasiliano: 0685 810 420
Viwanja vipo kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, mji unaitwa chatembo,
Ukubwa ft 50×50,
Bei ni mil 2 tu,
0683775566,
0714775566
Wote mnakaribishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.