Listing by: Bestates Properties +255786157788
Tunapenda kuwatangazia wananchi wote raia wa Tanzania, mwendelezo wa uuzaji viwanja kwa bei nafuu kwa kuzingatia viwango vya serikali.
Hati...
BEI: 300,000,000/- Maongezi yapo kwa mhitaji
MAHALI:TABATA RELINI(karibu na st.Mary chuo cha ualimu)
UKUBWA: SQUARE M 1600
UHALALI:KINA HATI AMBAYO INALIPIWA KILA MWAKA
Mhitaji anaweza kuja PM...
Eneo linauzwa mbezi beach barabara ya white sand jirani na shule ya English medium ya Elite eneo lina fance na nyumba ya nyumba vitatu Umeme na maji tayari limepimwa na lina hati ukubwa 4500sq m...
Kiwanja kinauzwa
Ukubwa 32*32
Kipo Dar es salaam eneo la
kinyerezi_Kifuru(hali ya hewa)
Umeme na barabara vipo
Bei: Tsh.15million maelewano yapo. Dalali haitajiki
Mawasiliano:
+255712264469...
Wakuu kiwanja kinauzwa Mbezi kwa Msumi.
Ukubwa ni 20 kwa 20.
Bei, kinaanzia milioni 5 (kwa mnunuaji mazungumzo yatazingatiwa)
Kiwanja kipo eneo tambarare na kipo jirani kabisa na barabara,pia...
MAHALI: Kisarawe Km 35 toka Airport
UKUBWA: Heka 17
SIFA: Lina Hati , kuna Nyumba kubwa Pia Kuna Mazao Kama Mitiki, Michungwa,Mikaratusi
Bei: Tsh Milioni 800
aliyesirias Anakaribishwa kuliona Pi...
Habari wa ndugu
Nauza kiwanja kipo Tabata - Bonyokwa kisiwani karibu kabisa na shule ya Mesodonia, upande mmoja kinapakana na barabara ya Ole Meikoki inayoelekea chuo cha Masanja. Kina ukubwa...
Viwanja vipo Mkuranga mjini.Ni dakika30 kutoka Mbagala,na nauli ni elf moja tu kwa daladala,na ni kama km30 au zaidi kidogo kutoka Mbagala.
Eneo lipo mita500 kutoka barabara kuu ya lami.Eneo ni...
Kuna viwanja vinauzwa Chanika zingiziwa 20x20 vipo eneo zuri mkabala na zahanati ya serikali kiasi kwamba vinafaa hata kujenga kitega uchumi kwa wanaoelewa fursa zipatikanazo maene jirani na...
Kipo Tegeta-Madale Dar es salaam. Karibu na Flamingo. Kina ukubwa wa mita 20×25. Msingi wa vyumba 3. Vyoo vya ndani 2, sitting & dining rooms. Mawasiliano:- 0788886038.
Viwanja hivi vipo Msalato njia ya Kondoa - Arusha kimoja kina ukubwa wa zaidi ua eka moja na ramani ya mchoro tayari imeshapitishwa na Mamlaka husika
Viwanja vingine vipo Nala Mizani njia ya...
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres
Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa...
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20.
Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo.
Piga simu 0754/0715 472414
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.