Kiwanja kinauzwa kiko Mbezi Msakuzi. Ukubwa Ni "17-20" bei Sh mil. 7. Karibu Sana. Umeme upo karibu mno.
Wasiliana Na mwenye no: 0719031549. Bei inaweza kupungua kidogo. Gari inafika hadi getini...
Kuna square meter 955 na 1200 na 2000 na 3000 na 4990 kila square meter moja ni tsh 14,000 tu. Pia kuna square meter 803 kwa tsh 17,000.
Eneo ni Katikati ya Mwongozo nyuma ya utumishi housing na...
Ukubwa wa kiwanja ni 700Mita za Mraba.
Kiwanja kipo eneo la Makazi, hakijapimwa, unaruhusiwa kuleta Mtafiti wa ardhi kukiangalia kimekaaje.
Kiwanja kipo eneo zuri, barabara ni nzuri hadi kwenye...
nauza kiwanja changu maeneo ya lugwadu chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20 bei maelewano hakijapimwa kwa anaehitaji anichek kwenye namba hizi 0688246998, 0675953263
Habari za asubuhi ndugu zangu wa Jamii forums, natumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu wote ni wazima wa afya.
Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 4 kinauzwa kipo Madale...
Habari za leo?
Kuna viwanja viwili vyenye ukubwa wa futi 50X80,umbali ni kama dakika 25 kutembea kwa mguu toka kituo cha daladala Pongwe,dakika 8 kwa bodaboda(malipo ni elfu moja)
Mnunuzi...
Viwanja vinauzwa,kimoja changu kiko vikindu 50ft kwa 100ft bei m5,na kingine cha rafiki yangu kiko vianzi 20m kwa 30m bei 4m kwa atakayehitaji 0654879476 thaman ya ardhi inapanda kila siku...
Eneo lililopimwa lenye ukubwa wa 6acres lililo kandokando ya barabara ya lami (morogoro road) linauzwa..
Sehemu eneo lilipo: Kiluvya.
Bei: Tsh 600milion.
Contact: 0689315582
kuna viwanja kinauzwa maeneo ya mbezi Luis DAR
Cha kwanza ni 30*30 milioni 22
kimepimwa na kina ati miliki
Cha pili ni 25*30 milioni 17
kimepimwa na kina ati miliki
Cha tatu ni 20*22 milioni 7...
Ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei kuanzia 4.5milion pungufu mnaongea, viko eneo la makazi sehemu nzuri, umeme upo, maji yapo na barabara nzuri.
Kwa taarifa zaidi piga#0653367580
Uwanja una uzio na frem zipo mbele uwanja upo boko unauzwa bei ya kutupa kabisaaaa. barabara ninzuripaka kwenye kiwanja uwanja huu mwenyewe amekata eneo lake anauza nayeye yupo hapo hapo una sqm...
Kiwanja Hiki Kipo Eneo La Wazo-hill Katika Wilaya Ya K'nondoni Mkoa Wa Dar Es Salaam, Kiwanja Ni Tambalale Na Kina Nyaraka Zote Za Umiliki Pia Tayari Kina Nyumba Ya Kuishi Ya Vyumba 3 Na Sebure...
KIWANJA kinauzwa kwenje mji mdogo wa chalinze.Kipo pembezoni kabisa na morogoro road.
Ukubwa:robo heka
Bei:100mill
Maelewano yapo
Mawasiliano:0652324449
Madali wastaarabu ruksa
Eneo la hekari 2 lipo kijiji cha Cheta, kata ya Kazole wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani, ni 8km kutokea Vikindu getini kwenye barabara ya rami linauzwa kwa Tsh. 10millions kila hekari moja.
kwa...
Kiwanja hiki kipo eneo la wazo hill katika wilaya ya k'ndoni, Dar Es Salaam Kiwanja Kipo Tambalale Pia Tayari Kina Nyumba Ya Kuishi Ya Vyumba 3 Na Sebure, Kipo Karibu Na Barabara Ya Kwenda Madale...
Kipo barabara ya Goba, ukitokea mbezi ya kimara ni 2.5km na kutoka barabara ya lami ni mita kama 150. Barabara ni lami.
Ukubwa ni 22m kwa 22m,
kina banda kwa nyuma kama servant quarter flanan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.