Habari wana Jf.
Bei ni 2.7mil maelewano yapo.
Ukubwa ni mita15*15.
Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni...
Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo
NB: Kuna jengo la ghorofa moja ambalo kidogo lipo chini ya kiwango, ni uamuz...
Plot ina uzwa ipo Tabata Kinyerezi shule karibu na bank ya mkopo njia ya kwenda songasi,haufiki songasi,ukubwa ni ni miguu 25 kwa 25 bei ni tsh Milion 27 maongezi,pana foundation imara sana ina...
Plot for sale at mbezi beach B rifle range near roundabout 1372 square metres good for building apartments
Price:250 million
Contact:0673864333
:0688229888
HABARI WANA JF HUSIKA NA KICHA CHA HABARI HAPO JUU.
KIWANJA KINAUZWA
Maeneo ya Mwanagati karibu na shule ya Mzinga English Medium.
Umbali wa kilometa 7 kutoka Banana ( Nyerere Road ).
Eneo...
(1)KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI;KIPO KIBUGUMO;KIMEPAKANA NA SECONDARI YA KIDETE.Kiwanja hicho kina ukubwa wa ekari moja.Sio mbali kutoka barabara kubwa ya lami.Bei mil 40 tu.Mazungumzo yapo.Contacts...
Viko Mbezi Mpiji Magoe karibu na hospital ya mpiji Magoe vyote vinafikika kwa barabara Viko vya ukubwa mbalimbali kulingana na uhitaji wa mteja.
Bei kuanzia tsh 1.5m tu
Kwa taarifa zaidi piga...
Bestates Properties
Call/Whatsapp: 0786157788
kinauzwa • TSh milioni 2.2 • Chanika Nyeburu B • kilomita 1 baada ya Zahanati ya Buyuni na kilomita 2 kutoka barabara kuu ya lami
ina nyaraka toka...
Viko Mbezi Mpiji Magoe karibu na hospital ya mpiji Magoe vyote vinafikika kwa barabara Viko vya ukubwa mbalimbali kulingana na uhitaji wa mteja.
Kwa taarifa zaidi piga 0715338989
VIWANJA VINAUZWA.VIWANJA VINAUZWA.
VIWANJA VINAUZWA VIPO VIWILI KWA PAMOJA,KILA KIMOJA KINA UKUBWA WA MITA 16 KWA MITA 16.
KIPO MAENEO YA CHANIKA SHULE MPYA YA KABAKARI.
KILA KIMOJA KINAUZWA...
Mashamba yanauzwa, yapo maeneo mawili tofaut
Shamba la kwanza, lipo Mlandizi Makazi mapya, ukubwa wa heka tano, shamba lina miundo mbinu ya maji, kila baada ya mita 50 kuna bomba la maji...
Wadau amani iwe Nanyi.
Plot moshi inauzwa ipo Shia mjohoroni mbele kama una tokea kiborloni.
Ukubwa: 1ekari 150mita kutoka barabara kuu ya Moshi~Dar
BEI:50ml. hakuna udalali
Mimi ni mmiliki wa Kiwanja kilichopo Isaka kahama Barabara ya nne,
Kiwanja ni kikubwa cha kutosha hakijapimwa ila kipo kwenye ramani hakina mashaka kuna vitu vifuatavyo kwenye kiwanja kisima cha...
Wadau habarini za asubuh. Nauza maeneo yangu yaliyoko dege jiran na "magorofa ya dege" kigambon. Viko viwili sehem moja na kila kimoja kina ukubwa wa mita 23*25. Viko kama mita 60 kutoka barabaran...
Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 4.5M.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora.
Kiwanja #29 & #30...
Nauza kiwanja eneo la kibada Block 7,kina ukubwa wa squremeter 1350 kimepakana na eneo la NSSF,Kimepimwa na kina hati,anae hitaji tafadhali ani PM au awasiliane kwa namba 0654274004.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.