Wakuu,
Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9.
Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable...
Watu wengi wamekuwa wakinunua laptop bila kujua wanaenda kutumia kwenye matumizi gani au mwingine ananunua laptop yenye uwezo mkubwa sana kuliko matumizi yake. Sio mbaya kufanya hivyo bali...
EMAUS LOGISTICS (T) LTD
We do all Dar es salaam port and airport clearance of goods and vehicles on time, without additional costs. In need of our service please call us or whatsap on...
Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana
📍 Kwa Aziz Alli
-Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000
-Master Room...
Habari
Tunaandaa documents mbalimbali kwa ajili ya wajasiriamali. Wajasiriamali wengi nchini wamekuwa wakitafuta huduma hizi kwa gharama nafuu ila wamekuwa wakifanyiwa kwa bei kubwa kutoka kwa...
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma...
Habari wakuu
Kwa wanaopenda viti vizuri basi viti hivi vitakufaa Sana kwa ajili ya bustani yako au baraza yako.
Bei ya kuuzia ni Shilingi 120,000/-
Vipo Dar Es Salaam ila popote unaweza...
Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa
Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya...
"Copy and paste from Facebook" Ni kama wiki na ushee nilimpa connection hii dada fln anauza mitumba hapa kitaa na amefanikiwa kupata mzigo wake aliagiza chupi 100 zikaja kama alivyo agiza. Siishi...
Habari wakuu.
Kwa wale wahitaji WA mashine za kunolea na kukatia vyuma. Nauza benchi grinder hii kwa bei ya Shilingi 120,000/-
Ipo Dar Es Salaam ila popote inaweza kukufikia.
Karibuni
Habari wakuu.
Pasi ni nzuri Sana unaweza kutumia mvuke. kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya nyumbani.
Bei ni 150,000/-
Zipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa zikakufikia.
Karibuni
Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2...
Mwenye hela ya chap njoo uwekeze
Kinapitika barabara >
kina hati halali
hakuna mgogoro
ni mali tu ya mtu hakuna udalali
unanunua unapewa hiyo hati majina utabalisha ww kwa mamlaka husika...
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mjini Nzega,bei 5m.Kipo Mita 150 toka Rami,Mita 600 toka Stand Kuu ya Mabasi,Ujazo SQM 876,kuna Maji na Umeme.Matumizi ni biashara hususani Lodge/Hotel,Godown...
Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara.
Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua...