Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600,na senyenge ina unene wa milimita1.6.
Inafaa kwe fensi ya nyumba,maboma ya mifugo,shamba,nk.
Bei kwa rola moja ni 110,000/=.Zipo rola4...
Wakuu [emoji3577] Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa.
Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price.
Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa...
Spika zinauzwa aina mbili tofauti moja ni aina ya tiger zipo,mbili ndefu na mbili fupi
zote zina mixer yake na ni mpya kbs hazijatumika spika mbili kubwa bei yake ni 400,000 ,zinatumia...
Tunauza wino wa photocopy mashine aina ya CONON IR zote pamoja na HP PRINTERS.... Kwa Bei ya Shs
19,000/= kwa Jumla.
Kwa mawawsiliano 0754257556
Kusafilisha mikoani BURE!
Mashine kwa ajili ya mazoezi ya Tumbo na mwili mzima imetumika miezi mitatu tu naiuza kwa laki na nusu (150,000) tu bei ya dukani ni laki mbili na nusu (250,000).
Nipo kitunda Dar es salaam...
call/WhatsApp 0656 666 662
-Fryer mpya ya kisasa ya chips ya umeme
-Ina matank mawili
-ina ingia lita 6 za mafuta kila tank
-made by stainless steel,haipati kutu
-inaivisha chips mara moja zaid ya...
Wakuu habari zenu,
Nauza miche bora ya mchaichai kwa bei ya shilingi 1,000, kwa yeyote anayetaka naomba tuwasiliane kwa namba ifuatayo 0785100139. Nipo Dar es Salaam.
Karibuni sana.
Habari wanajamvi...?
kampuni ya OCEANKISS LTD, inachukua fursa ya kuwakaribisha wateja wote muweze kujipatia magodoro bora kabisa kwa gharama nzuri yenye unafuu na hii ni kwa watu wote mlio ndani...
Kaptula kali, nzito 100% original zinapatikana kwa bei nafuu kabisa...
Zipo Mwenge karibu na Santika Hall, Dar es Salaam
Mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja
Bei: 18,000/- tu
WhatsApp...
Pata; 1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo
2.Simple za kike zinapatikana
3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa nyeusi fresh yani.
4.Kwa Wale Mnaohitaji...
USED HP Deskjet 4515
-Print, scan na copy
-Inaprint black na rangi
-Inaprint two sided
-Ina wireless print access
- 6.73 cm touch screen
-Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote
-Bei laki...
Dji phamtom 4 drone in new condition haijatumika kwa kazi yeyote zaidi ya kutestiwa toka inunuliwe.ilinunuliwa mwaka jana mwezi wa 10.
Bei 2.7m(maongezi yapo kidogo sana).
Nicheck 0752527054 or...
Panasonic gh5s bei ya ofa jamani kwa anayeifahamu anajua dhamani yake kama uifahamu tafadhali ingia youtube search "panasonic gh5s review" uone ubora wa hii camera.
Bei 4m (maongezi yapo kidogo...
Korosho Zinapatikana kwa jumla Na reja reja kwa Bei Nafuu Sana{kwa Jumla na Rejareja}
Korosho zipo Aina mbili
1 Brown za chumvi , kilo Tsh 20,000/=
2 Nyeupe kavu, kilo Tsh 18,000/=
unafikishiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.