Bajaj MC 459 CDG
Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu.
Haijawahi funguliwa engine hata kidogo.
Ina Bima...
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6.
Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk.
Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3...
ROYAL SECURITY SECURITY SOLUTION Inakuletea alarm security system .
Lala bila wasiwasi sasa kifaa hiki hutakiwi kukikosa nyumbani kwako ni kifaa kidogo unachokifunga mlangoni, dirishani au kwenye...
Velvet Walllaper with stones kali sana
Roll moja ya VELVET WALLPAPER ELF 70
Roll moja ina urefu meter 10
Upana cm 53
Gundi pakt moj elf 10
Ufund elf 15 kwa kila roll moja
Tupigie/whatsApp...
bado bidhaa zetu zinapatikana, na kwasasa chaguo ni lako ukitaka kununua yaliopo ofisini kwetu sawa au ukitaka tukutengenezee hata hapo nyumbani kwako pia sawa, sisi tupo kwaajili ya kukuhudumia...
Jamani blauzi za mtumba hizo za kike grade one tunauza sh 5000 moja au ukichukua 10 na kuendele unachukua kwa bei ya jumla (4500/4000),nguo zote ni quality pitia account yetu ya instagram kuona...
ATTENTION [emoji845] ATTENTION [emoji845] ATTENTION [emoji845]
Suti Kali Pair Mbili Moja Ya Kijivu, Nyingine Ya Blue, Koti Moja(Blazer), Na Bedsheet. Vyote Kwa Pamoja Vinatakiwa Tsh...
Tunauza na kusambaza dawa/tiba asili ya homa, mafua na matatizo ya mfumo wa upumuaji (COVIDOL) Tshs 25000, pamoja na dawa Lishe kwa ajili ya mafua makali na kikohozi kikavu (NIMRCAF) Tshs 15,000...
Habari za jioni wanajukwaa natumai mpo wazima kabisa. Nauza vitu vya ndani kwa bei nafuu kabisa napatikana Mwanza maeneo ya Iloganzara nyuma ya kanisa la KKKT karibuni sana.
Kitchen cabinet...
Jipatie smartwatch kali inayosuport android na ios kwa bei ya jumla na rejareja
t 500
Inatumia wireless charge
ina kioo kikubwa full hd
Unapokea simu kwenye saa yako
inakutumia notification zako...
Habari waheshimiwa
Nauza apple imac core 2 duo mtumba kutoka nje(ziko nyingi)
sifa zake
Hdd 500gb
ram 2gb (inaongezwa)
nch 24 wide
processor 2.8ghz
core 2 duo
graphics ATI radeon HD 2600 PRO 256...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.