Habari karibuni tumeshusha mzigo wa tracksuits za watoto jumla na reja reja mzigo upo wa kutosha kabisa
Material ya tracksuits Ni 100% cotton✓
Umri Ni kuanzia miaka 4 Hadi 12✓
Bei ya jumla Ni...
Nauza decoder ambayo itakusaidia kupata huduma ya internet kwa wenye TV za smart ingawa inaweza kutumika pia kwenye Laptop na desktop, inatumia line za mitandao yote ya simu. Being yake ni 50000 tu.
Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa
Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel
Price Tshs 650,000/=
#Product Features
. 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker
[emoji830]Electric oven and grill...
Sofa zinahitaji kufanyiwa ukarabati, kubadilishwa kitambaa. Yako mawili (La mtu mmoja na watu wawili )
Zipo, Dar es salaam, Mbezibeach, Tangibovu.
Piga 0742141467
Bei Tshs 100,000
Maelewano yapo
Habarini wandugu,
Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi.
Bei laki 4 elfu 50.
Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi.
Yanapatikana Mbweni...
Habari wakuu,
Tumeleta mzigo wa pochi za kina dada nzuri.
Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja
Bei yetu ya jumla ni sh. 13,000/=✓ kuanzia PC tano tu na rejareja sh. 15,000/=
Tunapatikana...
Jipatie Time attendance device kama kihakiki cha mahudhurio ya wafanyakazi kiwandani, ofisini mahotelini nk, na hata mashileni.
Rahisi kutumia.
Ina back up Battery kama umeme umekatika, unaweza...
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia)
Debe la mahindi utapata KWA 8500
Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa.
Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k.
Ila ofa hii ipo KWA kipindi...
Wafugaji wengi hasa kwenye ufugaji wa kuku iwe kutaga au wa nyama changamoto kuu zipo mbili magonjwa na kuibiwa kuku wako hata kama idadi uliifahamu,
Sababu kuu ni kuwa control vijana na hata...
Nauza vioo vya laptop vipo vinne
Vipo katika hali nzuri ni slim mkanda mkubwa inch 15.6
Location Mwanza
Bei kwa kila kimoja 50,000/- kwa vyote vinne 200,000/-
Nauza scooter aina ya honda Model
Honda Click 125Cc. Bado ina hali nzuri mnoo imepasuka taa ya mbele tu. Bei 1,500,000 (maongezi yapo) ipo dar mwananyamala kwa maelezo zaidi piga namba hii 0783150130
Peanut Butter (Siagi ya karanga)
Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji...
Bei ya vitanda vya kisasa sawa na buuure kabisa, nipo Mbezi beach -Salasala. 0679478758
4 kwa 6 , 250000
5 kwa 6, 300000
6 kwa 6 , 350000
Karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.