Habari,
Pikipiki aina ya Boxer 150cc Inauzwa.
Condition: Used
Mahali: Kigamboni
Bei: 950,000
Documents zipo.
Kwa kijana anaeanza maisha itamfaa kwa bodaboda. Kama atakua na uwezo wa kuweka...
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi..
Inatumia umeme
Imetumika MIEZI...
Viatu vikali hivo hapo angalia kipi kina waka kwako zipo simple raba za kike 30,000Tsh na Nike 38,000Tsh.
Vipo viatu kama Nike vikali, scorpions nzuri, sebago, airmax, airforce, jordan...
Panasonic gh5s camera for best video quality.
Uwezo
Shoot 4k up to 60fps
Dual native iso 400 and 1600
Support cinema 4k up 60fps
Shoot 4k 10bit 4:2:2 internaly
Assisting feature kamaFalse color...
Mbao kutoka shambani, zinepandwa 1.1.2000 zinauzwa kuanzia shs 70,000 ziko mbao 103 size mbalimbali 9x2, na 7x2 . 0765004347 au 0622303759
Zinapatikana Mvule 103
Habari ya leo dugu zangu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nauza huu mzigo. ,
model sm_t819
storage gb 32
Ram 3gb
Ipo katika hali nzuri kabisa, napatikana kariakoo. Chuma hichi...
Habari wadau..
Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili..
Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000.
Namba ya simu ni 0692 275 229
Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu..
kununua kiwanja/viwanja
kununua nyumba
karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k)
Mawasiliano; 0744033555
Habari wadau
Nauza air condition mpya kabisa, sealed in box
Bei ya kuuza ni laki tano fixed ( haipungui kiasi chochote) mimi nilinunua laki 7, risiti ipo
Brand ni BRUHM
Nilinunua kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.