• Direction: Magogoni, mita 300 kutoka Ferry
• Plot Area: 300 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 70 million
.
✓ inatazama barabara kuu ya lami ya Ferry-Kimbiji
✓ mita 100 mpaka baharini
✓...
Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja.
i. Sehemu: Makuburi, Mabibo. Dar es Salaan.
ii. Ukubwa: 1780 sqm
iii. Vina hati.
iv. Bei 120m
Ni hivi vyenye vidoti vya kijani.
Mawasiliano: 0743-398408
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A.
Viko vinne
Vimepimwa
Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road
Karibu na shule
Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa
Huduma za umeme na maji zipo...
• Direction: Chama
• Survey: skwata
• Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200
• Document: Leseni ya Makazi
• Price: TZS milioni 350
.
✓ eneo linachipukia ujenzi wa majengo ya kisasa kama: kanisa...
Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo...
Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka...
Shamba linauzwa lipo mpakani mwa Arusha na Manyara, lina ukubwa wa heka 180 linauzwa lote huduma ya umeme ipo maji mabomba yameshapita lakini mwisho wa eneo kuna mto umepita na shambani kuna camp...
Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha:
1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road
2. Lipo barabarani
3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji
4. Huduma za kijamii zipo
kwa...
Shamba lina ukubwa wa Hekari 2
Lina miti 1000+
Miti ina umri wa miaka
Shamba lipo Mwanza, Ukerewe
Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki...
Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi...
Nauza kiwanja changu maeneo ya Mvuti (kina msingi mkubwa wa nyumba ya vyumba vinne; viwili master, dining pamoja na jiko).
Kama unatoka Chamazi kipo mkono wa kushoto, ukiwa unatoka Chanika Kipo...
Kibaha msangani juhudi.
Kipo karibia na stend ya bajaji
Km 5 KUtoka morogoro road
Ukubwa mita 20 kwa 20
Milioni tatu na nusu.
Barabara nzuri ya lami.
Umeme na maji vimefika.
-Nauza Plots -Kibaha, Zegeleni.
ziko Mbilil, zimeungana kilometa 7 kutoka lami(Kituo cha Madafu).zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Jumla ya square meter 1388.
Zina Hati Miliki ya Wizara...
Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2
Km 1 kutoka barabara kuu.
ukubwa ni 20 kwa 20
Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea
Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo)
Hakuna dalali ni changu mwenyewe...
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye.
Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so...
Habari wandugu,
kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja...
Karibu kwenye ukulasa wa Dovillen Property.
Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk
POSTA,UPANGA, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI, MBEZI BEACH...
Nauza kiwanja bei 4M
ukubwa 60*15
Eneo Fumagila/Nyamagana/Mwanza
Maji Yamefika
Umeme umepita
Barabara zipo
Hakijapimwa
Contact
Dm
au ukihitaji nakucheki
SITE IKO BAGAMOYO FUKAYOSI
Hii site ina viwanja 26 (Sqmt: 9,720) vimepimwa.
Kituo: Mnadani kwa Sokwe,
Unaingia kulia kama unatoka Dar.
Km 1.5 kutoka Main road
Bei: Milioni 40 (site yote)
0712787939
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.