Kazi kazi
Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML
Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga...
Habari wana JF
Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa...
• Direction: Muhoro
• Plot Area: 850 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 800 million
• Viewing charge: TZS 30,000
.
✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa
✓ plot inafaa kwa...
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
BEI YA KUTUPA
KIWANJA 2376Sqm KIZURI NA KIKUBWA KINAUZWA
_______
MAHALI-NZUGUNI A
_______
UMBALI-8Km toka town
_______
UKUBWA-2376Sqm
_______
DOCUMENT-HATI
_______
BEI-22M (FIXED)
MALIPO YA...
Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami.
Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache...
Kiwanja ni tambarare
Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045
Mawasiliano for serious buyer 0692450861
Umbali toka Feri ni km 19
Price - 12,000,000/= Negotiable.
CHAHWA, CHAMWINO IKULU, DODOMA
Eneo la kiuwekezaji, linakaribia ekari moja. Ni 4350 sqm. Limepimwa tayari. Hapa unanunua then unagawa viwanja unaanza kutengeneza faida kemkem. Ni nyuma ya Ikulu...
PLOTS FOR SALE
Total Size – 4000Sqm
Price – 360,000,000 TZS
Location – Mtaa (Sala Sala )
Kata (Wazo )
Barabara (Flamingo Road)
Wilaya ( Kinondoni )
Title Deed – Under process
Residential Purpose...
Kiwanja Kiko balili mjini wilayani bunda mkoani Mara. Kina Ukubwa wa 29 KWa 28 KWa kuhesabu hatua au tambo za miguu na kimepimwa na halimashauri.mnunuzi atalazimika kufatilia offer kisha hati...
ENEO: Ukubwa wa 6,196 sqm (mita za mraba).
Ambalo limeendelezwa kwa kujengwa ukuta na majengo ya matumizi mbalimbali ambayo yapo katika hatua za kumalizika. umeme umekwisha fikishwa wa “three...
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo
wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni...
KIWANJA KIZURI KWA BEI YAKUTUPA
_______
MAHALI-MEDELI WEST (MTAA WA SHOPPERZ/MORENA)
_______
UKUBWA-1698Sqm
_______
BEI-200M (FIXED)
________
MALIPO YA DALALI-10% (UNALIPA MTEJA)...
Viwanja vinapatikana kama ramani hii inavyoonyesha. Kama unavyoona, ni viwanja vichache tu. Bei ni shs 40,000 kwa Square metre. Kwa mawasiliano zaidi piga/sms number 0678-868860.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.