Hello Wateja wangu
Karibuni katika biashara yangu ya Dagaa wa kukaanga kutoka Jijini Mwanza.
Tunauza dagaa wasafi na walioandaliwa katika mazingira safi.
BEI ZETU
Tunaanzia pakti kwa Tshs elfu...
Nauza viwanja Eneo la Msongola Mlandizi vyenye ukubwa wa kutosha na kwa kuwa Msongola ni Mji unaokua kwa kasi hautajutia pesa zako.
Panafaa kwa kilimo na ufugaji.
Pia, kwa mawasiliano 0620639519
DIATROM[emoji768] 50 is suitable to light monopolar pure cut as well as cut/coagulation and coagulation.
Under microcontroller watch it has the maximum output linearity, safety control allowing...
Mashine ya kisasa (Home made) ya kufanyia mazoezi ya viungo inauzwa.
Kupitia mashine hii unaweza kufanya mazoezi ya aina tofauti tofauti.
Mazoezi ambayo unaweza kufanya kwa kutumia mashine hii ni...
Dar es Salaam, Tanzania
canon i sesny 5880-550,000/-
canon 2018 - 950,000/=
canon 1024 ir - 670,000/-
hp 1415- 550,000/= (colored and black and white)- laserJet
Hp 1212 mfp (printer, copy and...
Tank aina ya polytank used linauzwa
Mahali : Kimara mwisho, Dsm
Ujazo: Litre 2000
Bei: 180,000
Bado lipo vizuri sana,nauza sababu nataka kununua kubwa zaidi.
Linafaa kwa shughuli zote...
Niko Mbeya
Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928
Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya...
#MYMBARALI_NOTES_BOARD
PATA KIAZI AINA YA TIGO
ZIPO GUNIA ZAID YAMIATANO HATA UKITAKA ZAIDI YA APO
BEI 18,000/=@GUNIA
ENEO: INTOKYELA-TUKUYU-MBEYA
CALL: 0763770207
Kwa anaye hitaji adsense accounts ambazo ni non-hosted anicheki kwa namba zangu 0756888069 | 0718268014 , Kila account pamoja na site yake ni 100,000/= . Kwa uaminifu nimefanya hii biashara na...
Karibu mwana jf ujipatie meza ya chakula yenye viti vyake vi 4 meza hii ina rotate pia ina mabble ni ya kijanja zaidi BEI ya beza hii pamoja na viti vyake ni LAKI 550,000 kwa mteja #serious apige...
Nina account ya adsense ambayo iko active, sijaitumia kwa muda baada ya kuwa busy na shughuli zingine na kuacha blogging ina dolla 24.19 bei ni maelewano tu njoo PM tuzungumze
Poultry cage nipples kwa ajiri ya kunyweshea kuku maji, incubator ndogo za mayai 48 na mayai 96. Na spare za incubator.
Tupo machinga complex 4th floor,kkoo dar es salaam.
Contacts. +255 657 705...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.