Habari wadau nauza mashine ya kufua upepo (compressor) kubwa unaweza kutumika kwa ajili ya mining and construction projects.
Details zake ni
Engine ya Ford Piston 4 kubwa
Kinu chake ni cha...
Inakaa na chaji siku nzima
Unaichaji lisaa 1 tu
Nakuletea ikiwa mpya Newfull box yaani saa yenyewe ikiwa na betri moja na USB tayari kwa matumizi
Sim Card and Memory Card
Unaweza kupiga na...
Nauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa
Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:,imefikisha watu 24000
Nauza Airpods na smart Bracelets kwa bei ya January 2020. CHECK ktk list then ufanye chaguzi ili tufanye biashara
Upande wa Airpods Brand zilizopo ni hizi hapa
QCY— QS2, T3 & T5
Bei ni —...
Nauza sata HDD for desktop computer yenye uwezo wa 500gb.
Kwa wapenzi wa nyimbo ina nyimbo zaid ya 12000, elfu kumi na mbili.
Bongo fleva zote za zamani zote na za sasa
Gospel zote
Country...
Habarini,Wale wanaohitaji pikipiki used made in japan tuwasiliane tuanze na hii ya hapa Chini
Type/Model of Motorcycle DT175 Yamaha
Fuel used Petrol
Engine capacity:171,two stroke
Year of...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna shamba linauzwa lenye ekari 5.5 hectres, 2.5 hectares zimepandwa miti ya mwaka mmoja na sehemu iliobaki imesafishwa tayari kwa kilimo chochote.
Eneo...
Sofa Ya Watu Wawili Na Mito Yake Hiyo Hapo, Imetumika kwa Miezi 6
Bei: Tsh.220,000
Niko Dar Kigamboni, Sitaki Nikihama nibebe Vitu vyote Vya Ndani
Mob:+255 718 295 182...
Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.!
Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre
Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana.
LOCATION: Dodoma Mjini
Info; PM
Natanguliza...
Njoo ujichukulie kabati la milago 3 bei ikiwa imepoa sawa na bure.
Upana : Futi 4" 1'
Urefu : Futi 6" 1'
Milango : 3
Bei : Laki 2 na Nusu tu (Tshs.250,000.00)
Kabati lina Kioo cha kujiweka sawa...
Mahitaji ya
[emoji117]mashine
[emoji117]magari
[emoji117]pikipiki
[emoji117]mbao
[emoji117]mkaa
Ntapokea asilimia tano ya mauziano kutoka kwa mnunuzi kama faida yangu.
Pm
UAMINIFU NI MTAJI
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji housing ya EVERNAL feni ya ukutani vikiwa kwenye hali nzuri, kwa yoyote atakayekuwa navyo tuwasiliane 0659-358-599
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba, Nyumba,
Viwanja, Mashamba, Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach, magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote...
Scientific Calculator used zikiwa katika hali nzuri kabisa zinauzwa...!!
Moja ina mfuniko kwa 20k na Nyingine haina kwa 15K.
Karibuni kwa huduma ya faster nichek 0738294674 wahi faster nipo Dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.