Asaalam,
Kama nilivyojielezea hapo mwanzo, kwa mtu yoyote au mfanyabiashara wa nguo za kiume mjini Dodoma njoo nikuuzie nguo za kiume kwa bei ya DSM. Sababu za kuuza ni kufunga biashara yangu...
Galaxy Tab A mpya haijatumika inauzwa
32GB storage, 2GB RAM na 8MP rear na 5MP selfie.
Bei ni 450k
Mpya kabisa
Location : Ilala, Dar es salaam
Mawasiliano: 0759007696(WhatsApp)...
Habari za weekend, tunauza suruali Aina ya kadeti Zina ubora wa juu, na zinadumu kwa Hali hiyo muda mrefu.
Bei ni elfu 23 kwa Rejareja
Offer ipo kwa mteja ukinunua kuanzia tatu utauziwa kwa elfu...
Kabati lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao Tsh 100000 zipo 2
maelewano yapo
Nipo dar mbez bich...
Wasiliana nasi Partager sur WhatsApp
Sent using...
KABATI NA UBAO WA KUTUNDIKIA NGUO
Lipo vizuri ila halina mlango wa nyuma.
Ni kubwa na pana.
Kabati Tsh 300000
Ubao umekatwa katikati Tsh 100000, maelewano yapo
Nipo Dar Mbezi Beach
Wasiliana...
Dagaa wa matafuta kutoka ZIWA VICTORIA,TUPO MWANZA mikoani tunasafirisha buree kabsa .
Mawasiliano yetu.
0755213580 Au whattsapp 0755213580.
Kiasi kikubwa na kidogo tunauza..
Karibu sana mteja...
Kwa atakae hitaji pump za solar ninazo mbili ni mpya kabisa hazijawai tumika kutoka kwa kampuni ya Lorentz
Power=1700W
Head=120m
Price @1,400,000
Zipo mbili
Location= Dodoma
Phone: 0715277821...
Nauza kabati ya mbao inafaa kwa biashara kama ya vitafunwa, vipodozi,chips n.k
Nimeitengeneza na kuitumia kwa miezi 3 tu.Utabadili kioo cha juu kimepasuka.
Nauza elfu 35 tu,niliitengeneza kwa...
Projector mpya kabisa inauzwa aina ni Epson, ipo full kabisa.
Nicheki kupitia: 0713349202
Bei ni 600,000,
Ipo Mwenge Dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Hand Mixer bomba ya keki
-Ni nzuri na imara sana.
-Hii ni Kenwood.
-Model ni HM800.
-Umeme ni 220V~240V,350W
50,000 TSh tu. [emoji336]WhatsApp / Call /sms+255713744304
Tunafanya delivery kwa Dar...
Habari za leo,
Nina vifaa vya kazi ya car painting na body work, Yani compressor ikiwa na pipe yake,na mitungi ya gasi na pipe na mikono ya kuungia.
Niliwanunulia watu wafanyie kazi lakini...
Sanitizer zinapatikana jumla tu
Bei rahisi sana Tshs 4000
Ukichukua nyingi bei inashuka
Mawasiliano: 0652472486
Ongeza la hii bei limetokana na uhaba wa ethanol sokoni
Ukichukua nyingi sana bei...
Kwa anayehitaji paypal account inapokea na kutoa pesa kupitia Mpesa (safaricom) unapata na line ya safaricom iliyounganishwa nayo.
Tuwasiliane: 0758593165
Habari wadau wa Generator,
Nauza Generator niliagiza Japan bado Liko vizuri sana, hp 1500 KVA 1.5 Sababu ya kuliuza nimeagiza kubwa zaidi ya hili kama unalitaka changamka dukani bei yake ni 2m...
Habari wanadau nina wheel chair mpya kabisa haijatumika naiuza kwa sh 250,000
Na pia nauza blood preasur monitor mpya kabisa 100,000 kama unauhitaji nicheck tufanye biashara
sent from toyota Allex
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.