Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
Nauza viatu vya Sperry Top Sider US Size 8.5M.
Viatu ni pair mojq tu na ni vipya kabisa bila boksi.
Sababu ya kuviuza ni kugundua viatu vina size ndogo baada ya kuwasili kutoka USA.
Bei...
Sale Sale
Bought new from Japan/
All in Good Condition/
Ni Vifaa vyote vya kufanyia kazi/
Vifaa vilivyopo;
-Tyre Changer,
-Compressor ujazo litre 500.
-Charge betri yenye uwezo wa kucharge...
Nunua raba aina ya platform sneakers, zina soli ya juu kidogo, ni nyepesi na imara
Pair moja utapata kwa 25000 tu
Wedge za kike utapata kwa 28000 tu
Napatkana mbezi luis dsm.
Mawasiliano ...
Leo nimechinja mbuzi kama 20, na nauza korodani zake, anaetaka tuwasiliane.
Angalizo: Kw wanaume, hakikisha mwenzio yupo karibu baada ya kula hizi kokwa
Jipatie viatu vizuri mno kwa bei nzuri
Sebago 48,000/= Slippers 18,000/=
Tunafanya delivery.
Tuko Dar es Salaam
Mawasiliano 0656838727
Sent using Jamii Forums mobile app
BEI YAKE NI 20000 TU
Kuna:
Chupa ya Chai
Hotpot
Sahani 2
Majagi 2
Bakuli 2
Kopo dogo
Glasi 1
Kwa kifupi vyote unavyoviona hapo 20000 tu.
Vipo Mbagala Zakiem
Piga simu: 0623717049
Sent using...
Jipatie asali bora kutoka Sikonge Tabora kwa bei poa....
Lita 1 = 10,000/= tuu.....
Lita 5 = 45,000/= tuu.....
Tunapatikana Dar na Tabora....
Mikoa mingine tunatuma pia....
Kwa mawasiliano tucheki...
Natafuta matank ambayo hutumika kuifadhia mafuta kama petrol , diesel au mafuta ya taa. Unaweza kuwa nayo wewe, rafiki yako, jirani au sehemu yoyote unayojua naomba uniunganishe, yanaweza kuwa...
wakuu, nauza water dispenser ndogo,
ni nzima kabisa haina tatizo lolote
BEI: laki mbili tu
LOCATION: Moshi Mjini
SIMU: 062 472 9398
Sent from my iPhone using JamiiForums
Vitu Used (ila kwa hali nzuri karibia na upya) vinauzwa!!!!!
Mahali: Shinyanga Mjini
Sababu ya kuuza: Nahama Mkoa
1/Dressing table (inahitaji kioo, rangi na vitasa)-mbao
2/Pasi ya umeme...
Aina - TOSHIBA
storage - 1,000 GB
location - Mwanza
Price - 100K
contacts - PM au 0628301473
NB- imejaa movie na series kali kibao
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo.
Napatikana Mbeya...
Nyumba inauzwa.
Location-Mbezi beach goig(nearby bagamoyo road and nearby massana hospital)
plot size-sqrm 401
PRICE-150m
Nyumba inahitaji marekebisho,japokuwa ipo eneo zuri.
Kwa atakaekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.