Simu aina ya Nokia 2 inauzwa. Imetumika mwezi mmoja tu na ina full documents. Simu pamoja na accessories zake: cover (autofocus), charger USB, ear phones.
Bei 280,000 TZS maongezi yapo kiduchu...
Friji aina ya hotpoint inauzwa dar mbezi beach goba road 370000 laki tatu na sabini tu ipo vizuri mfumo wake wa kupoza ni mkali ndani ya nusu saa ishapoza
0762612213 SMS/call
Projector aina ya...
Ni mashine aina ya Boss!!
Ina hitirafu kwenye Pump( valve zimeungua na zinapatikana kariakoo)
Nakupa na vifaa vyote
Bei 350,000/=
Mazungumzo yapo!!
Sababu ya kuuza!!
Kijiwe kimekufa na sina...
Wakuu nauza printer 4 in one yani ina scan,copy,print na fax kwa shilingi laki 760000, imenumuliwa mwaka jana kwa milioni 3 , hii ni Canon MF i5980dw ni wireless unaweza print bila kuunganisha...
Ninauza samsung yangu tab 4. 180,000 TZS....ina cracka kwenye kioo ila haina tatizo lingine...iko sawa kabisa. Nimeweka bei ya chini coz nahitaji hiyo pesa haraka.
Situmi mikoani..nipo wa azizi...
Salaam humu ndani
Nawaletea eneo lenye nyumba ambayo imefikia kwenye linta imebaki kupiga kenchi tu eneo ni kituo kipya loliondo kibaha maili moja ukubwa Wa eneo ni square meter 25x20 bei yake ni...
Najua ubize wa kazi na majukumu ya kila siku imekua ni changamoto kwako kuweza kufanya mazoezi ya mwili,wakati mwingine unafika nyumbani muda umekwenda sana na kushindwa kuhudhuria gym,sasa sisi...
Kuku wa nyama aina ya kroila, wamechanjwa chanjo zote.
Wana miezi mitano na wengine miezi mitatu nawauza kwa jumla.
Wamefikia umri wa kuanza kutaga.
Sababu ya kuwauza ni kwamba nahamia mkoani...
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa
Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine
ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula
Inapukuchua mahindi
Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa
masaa...
Jiko la umeme used lenye plate nne linauzwa kwa bei ya Tsh 130000 Lipo maeneo ya mbezi Beach goigi. Lina ovena pia.. Na ni zima ispokua plate mbili ndo hazifanyi kazi ni za kubadili.. Kwa anae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.