BlackBerry passport kwa ajili ya spare inauzwa..imeharibika connector za keyboard kwenye motherboard..ukiweka motherboard nyingine inafanya kazi vizuri tu mkanda wa keyboard bado mzima kabisa...
Wakuu salam,
Ninauza freezer tajwa hapo juu kwa bei ya shilingi za kitanzania 450,000/= (laki nne na elfu hamsini tu).
Lipo dodoma mjini.
Mawasiliano: 0746426085
Karibu.
AMD E SERIES DUAL CORE PROCESSOR
1.50Ghz PROCESSOR SPEED
4GB RAM
500GB HDD storage
15.8 inch screen
High definition display
Shared graphic card
2 usb 2.0 ports
Up to 6 hours...
SMD rework station 100,000 gun yake tu ilizingua
Fingerprint module for arduino 60,000
Speakers hizo 10,000
Motherboard hiyo utanipa 35,000
Mahali: kigamboni, Dar es Salaam
Karibuni
Nauza kampuni ya clearing and forwarding yenye leseni mpya haidiwi chochote kwa yeyote aliye interested ani PM au nicheki kwa namba 0622-027490
Post sent using JamiiForums mobile app
Salaam JF,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojinadi. Nahitaji sofa used lililo katika hali nzuri la kukaa watu wawili kwa maeneo ya Dsm, Lisiwe na kunguni Offer yangu elfu 50 tu, kama unalo...
Nauza Earphones original za Samsung nimetoa kwenye simu(baada ya simu ya kwanza kupotea) bei yake ni elf 8 tu(hazijatumika hata siku moja-brand new), pia kuna charger ya Samsung nyeupe na ina...
Sasa unaweza Kutrack maendeleo ya mazoezi na afya yako kiujumla
Inapima step ulizotembea,mapigo ya moyo,umbali,mafuta ulichoma( calories) inakuonesha nani anapiga katika simu yako,na sms...
Habari?
Nauza laptop ya Apple aina ya Macbook Pro, yenye specification zifuatazo:
Hard disk GB 500
RAM GB 8
Graphics Card (vRAM) GB 1.5
Processor Core i5
Condition ni Used kidogo sanaa na ina...
Ipo Canon 700D ina lens ya 75-300mm , battery , charger pamoja na 16GB Memorycard
Bei ni 1.2M
Bado mpya kabisaa niliinunua pale Jumbo Posta mwaka huu mwanzoni.
Nipo Ilala
Nitafute kwa 0765961152
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.