Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wana JF,ni mwaka wa 3 sasa tangu nimalize chuo,nimejitahidi kufanya application yoyote inayoendana na fan yangu bila mafanikio,sasa nimeamua kutoa chochote ili nipate kazi,japo naamin...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wa jf mi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu mchakato mzima wa wale tuliojaza fomu zakujiunga na upolisi tukiwa chuoni mwezi june coz mi binafsi sijui hata kinachoendelea mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani si walisema watatujulisha soon wootee... watakaoitwa for Oral na watakaokosa inakuaje tuendelee kusubiri au?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1.USIWE NA PAPARA -tulia jitahidi kutafuta kaz taratibu bila pressure pia jitahidi kutumia marefa ambao wamo ndani au karibu na waajiri. 2.KUWA TAYARI KWA LOLOTE. -Kubali matokeo hata kama...
9 Reactions
12 Replies
3K Views
habari zenu wana JF, naombeni mwenye taarifa au mwenye kuwafahamu mawakala wa Barrick au migodi ya madini hapa Dar es salaam ningependa kuwasiliana nae aweke wazi tu si kwa nia mbaya na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wandugu naskia nafac mbal2 za bandar zmetangazwa plz mwenye hzo nafac atusaidie..
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari jamani, nauliza HIVI WAMEITA KWENYE usaili COSTECH zile ajira zilitangazwa na utumish ya RESEARCHER na Research Assistant?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu eti zile nafasi za ajira chuo cha IFM zilizotangazwa na tume ya ajira mwez may mwaka huu wameutwa kwenye intview wk ijayo tar 30? Nimepata taarifa kutoka katika chanzo ambacho sio cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, Ni muda sasa nimekuwa nikiona matangazo ya kazi hasa ya serikali na taasisi zake yakiwa na deadline inayosema " The deadline is two weeks from first appearance of the advertisement"...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman natafuta kazi ya part time kama kuna kitu cha kufanya ni PM
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu! Salamu. naskia ukiweza kuhonga suti tano kwa viongozi wa juu wa serikali you have greater chance to get sehemu ya kujenga hoteli ya kitalii ndani ya hifadhi ya wanyamapori mfano...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kwa mwenye taarifa kuhusiana na nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya ajira za COSTECH kama washaita watu kwenye usaili, maana mim niliomba research assistant mpaka sasa naona kimya.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow GTs,.naweza kupata muongozo wa ngazi mpya za mishahara kwa mwaka huu? Tafadhali,nahistaji msaada wadau!! Nahitaji kweli kweli!!! AHSANTENI
0 Reactions
14 Replies
5K Views
jamani naomba kupata taarifa ya zile nafasi za kazi zilizotangazwa hivi karibuni pale mkombozi bank. Natarajia ushirikiano.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii imenikuta jana, natoka zangu job jioni nikasema nipitie dukani nikanunue mahitaji mawili matatu. Nimeshanunua nakaribia mlangoni simu inaita , naangalia naona namba land line siijui.Nikapokea...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Za leo wana Jf, nataraji mko vzr. kuna ishu moja imenishangaza kidogo, watu wakishaona majina kwenye website ya watu kuitwa kwenye usahili basi wanaanza kutafuta information za wale wanaooneka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
ALPHA STATIONARY iliyopo maeneo ya TABATA-DAR ES SALAAM, inatafuata mfanyakazi wa ofisi ya stationary. aliyetayari atume CVs yake ikionyesha muda na maeneo ya uzoefu wake wa kazi. Tuma CVs yako...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Maliasili kumwaga neema ya ajira -MWANANCHI. Tuesday, 21 August 2012 21:34 Mwandishi Wetu, Arumeru WIZARA ya Maliasili na Utalii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba Mwongozo wa maswali au ushauri kuhusu interview aptitude test ya tarehe 24 mwezi huu pale Udms Yombo No5 na 6!!!?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Graduate with a tourism degree from makerere univ,,,, for more details 0716011111
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…