Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Sisi wana mafunzo wa kata ya MBEZI,ambako kituo chetu cha mafunzo kipo SEKONDARI YA KIBAMBA,tangu tuanze mafunzo hatujapewa hata senti moja kila kitu tunajigharamia wenyewe,cha ajabu mpaka peni ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Usaili wa taasisi ya udhibiti wa mbegu (tosci) ulipangwa kufanyika tarehe 20/08/2012 na 21/08/2012. Lakini kutokana na uwezekano wa tarehe hizo kuingiliana na sikukuu ya iddi, usaili huo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ajira ni tatizo kubwa linaloikabili dunia na nchi yetu pia!! Viongozi mbali mbali wakiwemo wabunge na viongozi wengineo kadhaa walisikika wakikiri ya kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa sasa ni mbunge katika bunge la afrika mashariki....ameingia kwenye siasa. Kwa kuwa benki ile ina mkono wa serikali kwa asilimia kadhaa, je, ameshaacha kazi kama meneja mawasiliano wa nmb? Kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wana JF mimi ni mwanafunz mtarajiwa wa ifm na pia makazi ni mwanza tatizo linakuja sina mkopo halafu nahisi maisha dar yatakua magumu sana,nlikua nkifikilia kuja kutafuta part time work...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu tafadhari,nafasi za kazi za data entry baada ya sensa zinatangazwa lini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni msaada tafadhali. Nimenunua eneo la shamba la ekari 4 ambalo nahitaji kulipanda miti ya mbao lote. Naomba kufahamishwa hatua za kuandika proposal kwa aina hii ya mradi na nielekezwe...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mimi ni Advanced diploma holder wa Accounts, huu ni mwaka wa pili sasa nasaka ajira bila mafanikio sana sana nimeishia kufanya interview za kutosha bila matokeo Baada ya kutafakari kwa muda na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani ,nilikuwa naulizia zile nafasi za kazi za JS(John Snow) vip,watu waeshaitwa kwenye interview,mimi niliaply nafasi ya Logistic officer!! naomba wenye taarifa wakuu!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta apartment maeneo ya upanga,masaki,oysterbay au sehemu yoyote tulivu kati kati ya mji mwenye information anisaidie,0715/0755 200221
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Executive DirectorThe vision of FARA, the Forum for Agricultural Research in Africa, is to reduce poverty in Africa by promoting sustainable broad-based agricultural growth and improved...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kazi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anahitajika Accountant, awe na cheti cha Diploma kutoka katika chuo kilichosajiliwa, uzoefu wa miaka 2 katika kazi, Umri usizidi miaka 35. kama una sifa tuma Cv na barua ya maombi ya kazi kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bny Technology is pleased to announce that it has finish to create one of the most advanced job recruitment portal available in industry to date. The Portal is now at the testing and evaluation...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani natafuta kazi lakini iwe mkoa wa dsm,bagamoyo au morogoro
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuweni makini na watumiaji wa tigo kuna style mpya ya wizi kwenye mtandao wa kijamii facebook: hebu ingia kwenye hii link Salama Jabir | Facebook huyu jamaa anajiita kama Salama Jabir yule...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jf nawaombeni kama kuna ambae anajua kuna mahali kuna housegirl please naomba tuwasiliane nina shida sana. Awe amemaliza standard seven na awe anajua kazi za ndani mshahara 30000 ni familia...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za kazi wana JF? Poleni kwa kazi. Mimi natafuta chuo cha patnership cha Information and Communication tech. Naombeni msaada wenu jamani ili niwezekufanikisha ndoto zangu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CAREER OPPORTUNITY-WORLD VISION TANZANIA World Vision is a Christian Development, Relief and Advocacy Non Government Organization dedicated to working with children, families and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman kwa anayejua, ni lini watatoa majina ya waliopita kwnye usaili wa mwez july, ktk mafunzo ya uhamiaji?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…