Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
  • Closed
1. Watoto walio na umri chini miaka 5 2. Wajawazito 3. Waathirika wa virusi vya Ukimwi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Matatizo ya kupumua Matatizo ya Ini Mshtuko wa Moyo Figo kushindwa kufanya kazi Kuvimba na kupasuka kwa bandama Kupungukiwa na maji mwilini
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
  • Closed
Timu ya Chuo Kikuu cha Oxford iliyohusika kutengeneza chanjo ya Oxford-AstraZeneca Covid-19 imetengeneza chanjo dhidi ya malaria inayofikia kiwango cha juu cha ufanisi kwa 75% ya Shirika la Afya...
1 Reactions
0 Replies
708 Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Homa kali Shingo kukakamaa Maumivu makali ya kichwa Kupatwa na degedege na mwili kukakamaa Kushindwa kuvumilia mwanga na kelele Kwa watoto kuvimba uso
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ugonjwa huu husababishwa na vimelea mbalimbali vya makundi ya bakteria, virusi na fangasi. Bakteria kama vile Beta-streptococci pneumoniae, Homophilus influenza, Virusi ni kama Herpes simple...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
- Vidonda na mikwaruzo kwenye utumbo - Kupata Minyoo - Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho - Kukosa haja kubwa au kupata haja kubwa ngumu, inaweza kupelekea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
3 Votes
  • Closed
Jaribu kubaki mtulivu, usijibu hata ikiwa unatamani kufanya hivyo Kulipiza kisasi hakutasuluhisha shida, bali itampa mtu majibu anayotafuta Chukua 'Screenshot' ya hilo chapisho ulilochafuliwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 3
0 Votes
  • Closed
Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Nakala mbili za kazi yako ya sanaa; Picha mbili za utambulisho(Passport size); Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa; Nakala ya picha ya utambulisho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
3 Votes
  • Closed
1. Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na marekebisho yake ya 30th April 2000 yananipa haki zote kama raia halali wa Taifa la Tanzania kuwa na mawazo huru juu ya jambo lolote...
3 Reactions
267 Replies
15K Views
Upvote 3
0 Votes
  • Closed
1. Kwa kutumia Wi-Fi moja, watu wanapojiunga na mtandao mmoja wa Wi-Fi mdukuzi ana uwezo wa kuingia kwenye mtandao huo na kupata taarifa zote za watumiaji. 2. Wadukuzi hutengeneza hotispoti za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Upvote 0
3 Votes
  • Closed
Wateja wenye furaha huchochea kukua kwa brand yako kwa kiwango kikubwa. Jitahidi kutoa huduma bora kwa wateja. Picha|Lyfe Marketing. Jitahidi kujenga mtazamo chanya kwa wateja juu ya biashara au...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Upvote 3
0 Votes
  • Closed
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Haki hii imeibuka miaka ya hivi karibu kutokana na maendeleo ya teknolojia hasa kutokana na uhalisia kuwa intaneti inakusanya taarifa nyingi za watumiaji wake Mataifa mengi yameanza kuitambua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 0
3 Votes
  • Closed
Unaponunua gesi ya kupikia, hakikisha imepimwa kwenye mzani na mtungi umefungwa lakiri (seal) Kumbuka: Anayeuza gesi bila mzani wa kupimia anafanya kosa na faini yake ni Tsh 3,000,000/-
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Upvote 3
0 Votes
  • Closed
Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo; Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
3 Votes
  • Closed
1. Zingatia urefu wa kichwa cha habari. Jitahidi herufi za kwenye kichwa cha habari zisizidi maneno 70. 2. Weka herufi kubwa katika kila mwanzo wa neno. Mfano, Njia 5 za Kulainisha Nywele. 3...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…