afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. Sebastian Haller, mchezaji wa Ivory Coast akipokelewa klabuni kwake baada ya kushinda AFCON

    Sebastian Haller, mshambuliaji wa Ivory Coast aliyefunga magoli muhimu katika mechi za mwishoni zilizoipa Ivory Coast ubingwa wa AFCON 2023 amerudi kwenye klabu yake ya Borussia Dortmund na kupokelewa kwa staili hii. Mchezaji wa AFCON wa nchi yako amepokelewaje aliporudi klabuni kwake...
  2. Baada ya AFCON hivi ndivyo wachezaji wa Ivory Coast na Nigeria wanavyokula mkwanja na kupewa nyumba

    Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa Kombe la Matafa ya Afrika (AFCON 2023) kila mchezaji anatarajiwa kupata Dola 82,000 pamoja na nyumba ikiwa ni ahadi ya Rais wa taifa hilo, Alassane Ouattara. Upande wa Nigeria walioshika nafasi ya pili kila mchezaji atapata Tuzo ya Heshima, nyumba na...
  3. Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  4. South Africa (Bafana Bafana) washika nafasi ya tatu katika Afcon

    Timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana wameshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya droo 0-0 ndani ya dakika 90. Golikipa Ronwen Williams wa Bafana Bafana kwa mara nyingine aliibuka shujaa baada ya kuokoa mikwaju miwili ya DRC ikiwemo...
  5. FT: Nigeria 1-2 Ivory Coast | 2024 AFCON Final | Stade Alassane Outtara | 11.02.2024. Ivory Coast abeba ubingwa

    Majira ya Saa 5:00 Usiku kutapigwa mchezo wa Fainali ya AFCON 2024 ambapo Nigeria atawavaa wenyeji Ivory Coast. Ni mchezo unaovuta hisia za wengi hasa kutokana na viwango vya timu zote mbili. Nigeria ikionekana ni timu iliyokamilika huku Ivory Coast unyumbani ukiwasaidia. Kura yako unampa nani...
  6. C

    Wimbo wa taifa mzuri AFCON 2024

    Ukiacha wimbo wangu wa Taifa (Tanzania), wimbo wa DRC umetulia sana. Je wewe kwako upi ni wimbo bora wa taifa kwenye AFCON 2024?
  7. AFCON 2023 imefana sana kwa sababu ya maamuzi ya haki ya waamuzi waliochezesha mechi zake

    Watu wengi wamesifia AFCON ya 2023 kwa ushindani ulioonyeshwa na timu nyingi na matokeo yasiyotabirika yaliyofanya mashindano kuwa ya ushindani zaidi. Pamoja na sababu nyingine kadhaa ikiwemo ongezeko la wachezaji wenye viwango vikubwa kwa timu nyingi, kama kuna jambo moja ambalo limekuwa...
  8. Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  9. AFCON: Nusu Fainali: Nigeria 1-1 (4-2) Afrika Kusini : Februari 7, 2024

    Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa...
  10. M

    Nigeria ni nchi iliyogawanyika hamna uzalendo wa Igbo wanashabikia South Africa AFCON

    Mzuka wanajamvi. Nigeria is a divided nation. Yani hawa wa Igbo wanashabikia Bafanabafana dhidi ya timu yao ya taifa super Eagle. Na wameshangilia kwa jazba south Africa waliposawazisha. Mechi sasa hivi imeenda mda wa ziada baada ya kumalizika 1-1. Kabila la Igbo wenyewe wanajiita Biafra...
  11. Ivory Coast hiyoooo Nusu Fainali AFCON kwa kuifunga Mali magoli 2-1

    Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024. Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
  12. I

    Simba wasaka wachezaji kwenye mashindano ya Afcon

    Klabu ya Simba ya jijini Dar imeamua kutafuta wachezaji watakaoisaidia timu hiyo katika kusaka mataji katika msimu wa 2024/25. Simba imeweka watu maalum ili kutafuta wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano ya Afcon yanayoendelea nchini Cote D'Ivoire. ==== Simba ina mikakati mizito ya...
  13. Nigeria anabeba Ndoo AFCON

    Mapopo wananyanyua ndoo AFCON. Majamaa yana dhiki ya mafanikio
  14. Kwanini Kenya na Uganda hawakuwepo Afcon?

    Ndg zangu sisi wengine soka tunaiona tuuu. Tanzania tulipitaje kwenda wakati Mozambique, Uganda, Kenya nakadhalika wengine hatuliwaona afcon.. sisi tulipataje nafasi Nawasilisha
  15. D

    Taifa stars wa rebuild kikosi kwa yanga kwa afcon ya 2027. Kama South Africa Mamelodi, here is why?

    Reasons 1. Players chemistry yanga wana players chemistry nzuri sana . One the best in Tanzania 🇹🇿 . 2 : GAMONDI BALL mpira upo chini. Awabutui . Wa nafanya build up vizuri . Creativity . The best manager in football in tz 3: DEVELOPMENT IN YOUTH : youth wa napewa time in yanga. Na mpira...
  16. M

    Mashabiki wa Cape Verde toka mwanzo wa Afcon gonga Likes😉

    Nilishatabiri mwamba wa hii Afcon ni Cape Verde. Sasa mtaniamini mtapoona South Africa yule kenge msupport magaidi wakipalestina anakalishwa mpaka anaomba poo pale mtondogoo... Mimi ni Octopus Paul nimemtabiri Cape Verse mechi zote na sijakosea hata moja. Hili kombe linaenda kwa underdog
  17. S

    Waafrika ni wamoja ushahidi majina ya wachezaji wa Afrika magharibi AFCON

    Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea. Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
  18. Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    Bingwa wa mashindano ya AFCON 2023 anachukua zawadi nono ambayo haijawahi kufikiwa ya dola milioni 7, sawa na shilingi bilioni 17 na milioni 500. Kabla mashindano ya AFCON 2023 hayajaanza, wachezaji wa South Africa "Bafana Bafana" waliingia makubaliano maalumu na Chama cha Soka cha Afrika...
  19. Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

    Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi...
  20. Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

    Mnaobeti chukueni hii Morocco anatoka leo kwa kufungwa na South Africa Goli 1 sasa au Goli 1 katika dakika 30 za baadae kama wasipofungana au katika Penati ambako South Africa watafunga ila kwa Morocco watakosa nyingi na Safari yao kwa AFCON itaishia rasmi Usiku huu huu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…