azim dewji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

    “Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?” Azim...
  2. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Serikali haina sababu ya kumpoteza au kumuua Mtu

    Mfanyabiashara na mwanasiasa wa zamani, Azim Dewji, amefunguka kuhusu masuala ya utekaji na upoteaji wa watu nchini na kueleza kuwa haamini kama Serikali ina sababu yoyote ya kumpoteza au kumuuwa mwananchi au mpinzani yeyote. Dewji ameeza kuwa kwenye siasa kuna mbinu nyingi ambazo zinaweza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji aulizwa, Kwa nini ulisema Polepole amejiteka na hajatekwa?

    Pia soma: Polepole: Mzee Azim Dewji ni moja ya wale wapiga mapambio kinafiki
  4. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

    Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
  5. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Iran walitusaidia, ni muda wa kuwaunga mkono

    Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa. Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Azim Dewji: Wanataka kuleta vurugu halafu wasingizie hakuna HAKI Tanzania

    Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela. Akizungumza kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Muislamu Usipomuamini Yesu Kristo Basi Wewe Sio Muislamu

    Mshauri wa Sheikh Mkuu Mzee Azim Dewji amesema Krismas mwaka huu itumike kutoa mafunzo kwa Vijana maana Miongoni mwa kazi za Taasisi za Dini ni kutoa Mafunzo ya Maadili mema kwa wananchi kwa Ujumla. Amewataja waislamu wote nchini hasa Mashia kuuungana na wakristo wote kusherehekea Krisimasi...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Azim Dewji: Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati

    Wewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo. Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba ================== Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…