baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama ni baba yako,ndugu yako,jirani yako mwambieni Prof kabudi umri uliobakisha dhambi yako kubwa ni uwongo.

    Ingekuwa ni baba yangu ni ngemuomba tu kuachana na kutumia serikali unayoitetea kwa kubeba uwongo sana. Huyu mzee kwa uwongo inaonesha hata chuo kikuu hapo kazilisha waongo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alilazimisha sana nimpe namba ya simu ya mchumba wangu, sasa anampigia simu hadi mara 10 kwa siku kumjulia hali

    Wakuu kwema, Hii stori inamuhusu mtu wa karibu na mimi naileta kwa niaba yake, kanitumia anahitaji ushauri, nimeandika kwa kutumia uhusika wangu. Nimekua na mahusiano na mchumba wangu kwa muda wa maika 6, na sasa nikaona imefika wakati wa kumuoa, nikaamua kwenda kumtambulisha nyumbani kwetu...
  3. JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/dB0Fte5XLTg?si=1ELIsna7kObFGKwO
  4. JamiiForums Tanzania Baba Levo kavuka mipaka yake, barabara za jimboni kwake zinategemea makusanyo ya kodi.

    kaingili mhimili mwingine wa serikali unaokusanya kodi ili izipeleke jimboni kwake zikajenge barabara zake. Nguvu ya yeye kuzuia TRA wasikusanye kodi kaitoa wapi? Ametumia vibaya nafasi ya ubungo. Yeye baada ya kujiridhisha kuwa yule alikuwa afisa wa TRA kazi yake ilipaswa kuishia hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Baba levo alikua hajui mswada na hata sheria za kodi hazijui na ni mbunge

    Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

    Ofisa wa TRA Anastahili Kupandishwa Cheo kwa Ujasiri na Uaminifu Wake Katika tukio la hivi karibuni lililorekodiwa na kuenezwa sana mitandaoni, maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) walifika kukamata gari la msanii Ommy Dimpoz kwa tuhuma za ukwepaji kodi. Wakati wa zoezi hilo, Mbunge wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu kumuweka Baba mtoto wake wasapu sitatasi. Nalia ukiwa

    Nimepata mstuko mkubwa Sana leo baada ya kuangalia wasapu sitatasi ya mke wangu nileyapata nae watoto 2 na kukuta amechapisha picha ya Baba mtoto wake na jumbe za malovee, Huku wakininanga na kuniita Kigagula. Natamani iwe ni ndoto au eyiyai . Naangusha machozi ya uchungu, Mwehu naliaa Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

    Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
  9. JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuepuka kama Baba

    Mambo ya kuepuka kama baba wa familia Siku moja tukiwa kazini tunaendelea na majukumu, nikapokea simu ya rafiki yangu akiomba ruhusa kwa bosi ya kutokufika ofisini kutokana na changamoto za kiafaya, mie nikatimiza wajibu wangu na nikawa naendelea na ratiba zangu, nikiwa naenedelea na kazi zangu...
  11. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu softcopy baba tajiri,baba maskin,henoko,tajiri wa babeli

    WhatsApp 0756704145
  12. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu softcopy henoko(biblia hakipo), baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli. Bei 10,000

    Nauza vitabu softcopy /nakala laini vimetafsiriwa kiswahili WhatsApp 0756704145
  13. JamiiForums Tanzania Msikilize Baba Askofu kuhusu malezi

    Tuko kwenye kipindi kipi? Na je huko mbele Taifa litakuwaje?
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

    Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji.. Naona amenikasirikia sana, Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa. Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na kataa maana najua ni hatanirudishia na tutasumbuana tu. Sasa majuzi nimekuja na mtoto mkali...
  15. JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  17. JamiiForums Tanzania SAIDA KAROLI : “Sizalii Mwanaume, Kila Mtoto Wangu Ana Baba Yake”

    Mwanamuziki nguli wa nyimbo za asili nchini, Saida Karoli, amewashangaza na kuwagusa wengi baada ya kufunguka kwa uwazi kuhusu maisha yake ya uzazi, mahusiano, na sababu zilizomfanya apate watoto na wanaume tofauti tofauti. Akizungumza katika mahojiano maalum, nguli huyo aliyewahi kutamba na...
  18. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  19. JamiiForums Tanzania Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF

    Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF..na vitabu vifwatavyo WhatsApp: 0756704145
  20. JamiiForums Tanzania Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

    Habari za leo? Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu. NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…