Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza.
1. Habari/Media.
Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...