bara

The Bära is a river in Baden-Württemberg, Germany. The Bära is a tributary of the Danube, and originates at the confluence of the Obere Bära (Upper Bära) and the Untere Bära (Lower Bära). The 12.7 kilometres (7.9 mi) Bära, together with the Lower Bära, which is longer and has a larger drainage basin, has a combined length of 26.5 kilometres (16.5 mi).

Obere and Untere Bära join to form the Bära in the Galgenwiesen ("gallows meadow"), about four kilometers above the resort of Bärenthal. This runs moderately without significant inflow a further 12.7 kilometres (7.9 mi) south-southeast in Talschlingen, draining an additional area of 31.2 square kilometres (12.0 sq mi). Passing through Bärenthal at last it flows into Fridingen and there, near the town mill, it flows last of all in a southwesterly direction into the upper Danube, approximately at the entrance to the Fridingen Danube Bend.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari kujaa TISS na watanganyika kushika nafasi za juu katika JWTZ na Polisi?

    Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania WIMBO WA KARIBU LEMA CCM

    [INTRO – MC] Aaaah! Oyaa! Oyaa! Habari imefika mjini! Kutoka Arusha mpaka Dar! Nani huyo? Lema! Ameenda wapi? CCM! Heeeee! Twende kazi! [BETI YA KWANZA] Lema eeh! Lema eeh! Umefika wapi? CCM! Lema eeh! Lema eeh! Habari imeenea mjini! [KIITIKIO – CHORUS] Lema kaingia, kaingia, kaingia! CCM...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano

    Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHIVAYO Na Mkewe Kuzikwa Kesho. Pichani Haya Ndio Majeneza yaliyobeba Miili Yao. Bara Zima La Afrika Laomboleza Vifo Vyao. Marais Kutua Zimbabwe.

    Ndugu zangu Watanzania, Mfanyabiashara na Tajiri wa Kiafrika Marehemu CHIVAYO na Mkewe wanatarajiwa kuzikwa kesho . Ambapo baada ya ibada wawili hao watazikwa Eneo moja . Ambapo viongozi mbalimbali na Wananchi mbalimbali wameanza na wanaendelea kumiminika katika kumsindikiza Tajiri huyo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Israeli iko bara gani?

    Hii nchi mbona ni kama haieleweki enyewe. Israeli iko mashariki ya kati ambayo kiuhalisia ni bara la asia lakini vilabu vyake vinacheza uefa na hata timu yake ya taifa inacheza michuano ya ulaya . Kwani hii nchi iko bara gani hasa au mimi ndo sielewi
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya Magari ya Serikali na Binafsi Yanayotumia Namba za Usajili Zinazodaiwa Kuwa Si Halali Tanzania Bara.

    Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo! 1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250). 2. 3. 4. 5.
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania (bara) usiende mjini; kijijini kunatosha

    Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama mjini mana kijijini unapata mboga za majani bure kabisa kwa majirani shambani au unapanda mwenyewe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania wazanzibari wengi wanaishi Bara lakini sheria za muungano zinawabeba kurahisisha maisha yao kuzidi watanganyika wanaoishi nao.

    Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara. Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana. Mtoto wako na...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  12. JamiiForums Tanzania CCM wote walioko TUNOJUA NI WATANGANYIKA tujitenge tuhamie CDM wotee .

    Wala sina mdaaa Ushauri nii huuu WATANGANYIKA WALIOKO CCM TUHAME TUHAMIE CDM TUKAIPIGANIE TANGANYIKA NAWAHAKIKISHIA ASUBUHI TUU TUNAPATA TANGANYIKA HURUU KABISA. Sitaki ushaurii nimeamua kusema Maana asilimia kubwa ya wanotekwa ni WATANGANYIKA TUU! Ila angalizo akina Lucas Mwashambwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wazanzibari wanajifanya hawaelewi kinachoendelea Tanzania bara?

    Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar. On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana Marais wawili, Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lakini kwa kuwa Samia ni...
  14. JamiiForums Tanzania Balozi Ahmed Haggag: Bara la Afrika linahitaji kuacha utegemezi wa nje na kujiamini

    CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe. Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Panapokuwa na Rais wa Bara Muislam panaweza kuwa na makamu mkristo kutoka Zanzibar ?

    Mfano kipindi cha Kikwete alilazimika kuwachagua Ali Mohamed Shein na Mohamed Gharib Bila
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete kawauza CCM bara rasmi

    Kwakuwa mtoto wake yupo madarakani kikwete rasmi sana kauza CCM bara na wamiliki sasa ni wanzanziri
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…