basi

  1. Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

    Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo. Mimi nitaongelea...
  2. TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  3. Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  4. Basi la Yanga kwenda Bunju ni masharti ya mganga wao - Mchungaji

  5. Kuna Basi la Mwendokasi lilikuwa linapita njia ambayo sio yake, limegonga mtu kwenye Zebra, amefariki Kimara

    Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
  6. Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  7. J

    Ukweli huu ukizingatiwa, basi suluhisho la kugombania Jerusalem na Dome of the Rock itapatikana

    Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake kuwa ni kikwazo cha maendeleo na ustawi wa jamii za binadamu...
  8. Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  9. Kama kila anayefeli anaambiwa akalime, basi kilimo kiwe somo la lazima kuanzia chekechea

    Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea? Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha...
  10. Mwanafunzi wa Chuo afariki dunia stendi ya Msamvu akisubiri basi

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma. Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  11. Kama hauoni kitu hapo basi upo hatarini

    Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika. Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu...
  12. Baada ya kusemwa kuwa ni Tawi lao na Wanawadhamini pia wameamua Kuzuga kwa kuwafunga Goli Moja na wakiongeza sana basi Mawili tu leo

    Na huu Mpira nautizama YouTube naona kabisa Pamba SC wako tayari hata Kufungwa Goli 10 ila Jamaa wanaona Aibu.
  13. Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza sana Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
  14. Duh kama no kweli Basi Mh Rais Samia chawa wako wamevunja rekodi ya dunia🙌

    Sina maelezo mengi habari kwa picha
  15. Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

    Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
  16. Wake za watu muwe na misimamo basi

    Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona kuna dalili ya kuwa na mume Imepita wiki akaja jamaa yake ile usiku nakuta tu migunoo oohh shiiish...
  17. Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  18. Msaada sio lazima lakini ukimpa MTU uhakika wa kupata Kazi basi msaidie.

    Moja Kwa moja kwenye mada. Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri. Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
  19. Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana. Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
  20. R

    KERO Huduma mbovu basi la Alys Star

    Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate nikitokea pande za kanda maalum kurudi Daslam kupitia Mwanza usafiri ulikua shida kidogo mabasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…