biashara

  1. Umuhimu wa kusajili jina/majina ya biashara

    Jina la Biashara: Umuhimu, Namna ya Kulisajili na Faida Zake:D:D 1. Utangulizi kuhusu Jina la Biashara Jina la biashara ni utambulisho rasmi wa biashara au kampuni inayotambulika kisheria. Jina hili linaweza kuwa jina la biashara yako moja kwa moja au jina linaloonyesha aina ya huduma au bidhaa...
  2. E

    Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

    Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni picha au wazo nmpe fundi Natanguliza shukurani
  3. Mume aliniacha nimefungua Biashara ila nina Mwanaume mwiangine naye kaniletea mtoto!

    Mume aliniacha nimefungua Biashara ila nina Mwanaume mwiangine naye kaniletea mtoto! Hello, kaka Iddi. Habari ya kazi? Naomba ushauri nisiendelee kuharibu zaidi. Niliolewa ndoa ya Kikatoliki, nikazaa na mume wangu watoto watatu. Maisha hayakuwa mazuri sana kwa sababu ya changamoto za...
  4. G

    Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

    nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12 Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1...
  5. EWURA yatoa wito na kutangaza kipindi cha kupokea mapingamizi wa waliopata leseni ya kufanya biashara ya mafuta Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli mbalimbali katika sekta ya mafuta ya petroli. Taarifa hiyo ya EWURA imewataja waliiomba vibali vya ujenzi...
  6. Waziri Kombo atembelea maonesho ya kimataifa ya biashara ya Cuba

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana. Maonesho hayo yamewakutanisha wafanyabiashara wa ndani na Kimataifa ambao wanatangaza huduma na bidhaa zao ili...
  7. Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  8. Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  9. Uaminifu ni silaha ya kulinda na kukuza biashara

    📖Mhadhara (57)✍️ Hebu fikiria, tunaagiza magari kutoka Japan na nchi nyingine, jinsi tunavyoyaona magari kwenye mitandao ndivyo ambavyo tunaletewa na kuyapokea bandarini kama tulivyoyaona. Huo ni uaminifu wa hali ya juu kwenye biashara. Lakini unakuta gari hilo hilo lililotoka Japan...
  10. L

    China yachochoea utalii wa Afrika kwa kutoa jukwaa la kutangaza biashara, kutafuta uwekezaji na kuvutia Wachina kutalii Afrika

    Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China. Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la kufanya biashara ya utalii nje ya China kwa kutoa fursa za uwezekezaji na soko la watalii wa China...
  11. M

    Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  12. B

    Kwanini social media accounts za kampuni/biashara yako aziwafikii watu kama ulivyotarajia?

    Skuizi imekuwa kama fashion tu kuona wafanya biashara wadogo kwa wakubwa, makampuni Hadi taasisi mbalimbali kuwa na account za mitandao ya kijamii(Facebook, Instagram na YouTube).. Na wengi wao wakiwa motivated kuwa na iyo mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kwa kuiga au kwa kuskia tu...
  13. G

    Pesa ya mkopo ikitumika kupanua wigo wa biashara kuna uwezekano mkubwa utafanikiwa zaidi, Ukiitumia kuanza biashara mpya tegemea zaidi kufeli

    Mikopo husaidia zaidi kwenye Expansion, sio kuanza from zero Kama ni kuanza biashara mpya Inapendeza zaidi kuanza biashara kwa mtaji wako au sehemu ndogo sana ya mkopo ili upate uzoefu, uzijue changamoto na faida za biashara, baada ya hapo kopa zaidi au tuma pesa zako kuwekeza zaidi
  14. Mdogo Wangu anataka nimfungulie biashara hii

    Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu ) Kuna mambo nataka...
  15. Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  16. Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati. Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000...
  17. Wasanii wetu wengi bado hawajui kufanya Biashara na makampuni

    Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
  18. "Huruma yako inaweza kuwakaribisha na kuwalea maadui"

    Mhadhara (53)✍️ Binadamu anapaswa kuwa na huruma kwa binadamu mwenzake, lakini ahakikishe huruma yake ina kiasi. Usiwe na huruma kupita kiasi kwani unaweza kuwakaribisha na kuwalea adui hatarishi. Adui wengine hupita kwenye mlango wa huruma, kila mara atahitaji msaada wako hata kwenye jambo...
  19. Dalali ndiye anayechelewesha biashara

    Mhadhara - 52: Kama utafuatilia kwa undani utagundua kuwa biashara nyingi za upangishaji na mauzo ya mali mbalimbali kama vile viwanja, nyumba, mapagala, mashamba, vyumba vya kupanga, mazao, magari, visima vya mafuta, n.k, zinakuwa ngumu kuuzika au kupangishika kwa haraka. Wanaochelewesha...
  20. Dalali ndiye anayechelewesha biashara

    Mhadhara - 52: Kama utafuatilia kwa undani utagundua kuwa biashara nyingi za upangishaji na mauzo ya mali mbalimbali kama vile viwanja, nyumba, mapagala, mashamba, vyumba vya kupanga, mazao, magari, visima vya mafuta, n.k, zinakuwa ngumu kuuzika au kupangishika kwa haraka. Wanaochelewesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…