Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅
Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...