bongotech255

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—œ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚

    Hivi utajisikiaje ukawa unanunua ๐Ÿ˜ƒ Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”ฅ Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—›izi hapa Websites ๐Ÿฑ za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! ๐Ÿคฏ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”ฅ Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  3. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ถ๐˜‡๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—š๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐˜…๐˜† ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฝ๐—ผ๐—ธ๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿต

    Kama Unatumia Samsung Galaxy A Series? Basi usikimbilie kubadilisha simu yako! ๐Ÿ‘€ Kuna baadhi ya simu za Samsung Galaxy ambazo zitaendelea kupata Security Updates na Android support hadi kufikia mwaka 2029, zikisaidia kulinda simu dhidi ya vitisho vya kiusalama hata baada ya masasisho makuu ya...
  4. JamiiForums Tanzania ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐Ÿญ๐Ÿด ๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐Ÿ”ฅ

    Google inakuja na mabadiliko kwenye mfumo wa Contacts Permissions kwenye Android 18, kwa lengo la kuongeza Privacy na kuimarisha Usalama wa taarifa zako.๐Ÿ›ก๏ธ ๐Ÿ“Œ What's changing? โœ… Apps zitakuwa na njia salama zaidi za kuongeza add au ku edit contacts. โœ… Kupunguza ruhusa zisizo za lazima...
  5. JamiiForums Tanzania ๐Ÿšจ ๐—ง๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—›๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—จ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฃ๐—›๐—ฃ ๐—ธ๐˜‚๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐—ฏ๐˜€๐—ถ๐˜๐—ฒ

    Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. ๐ŸŒ Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐˜€๐—น๐—ฎ

    Wakenya hii balaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! ๐Ÿš˜๐Ÿคฏ Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‘ Je, kweli mafundi wa Kenya...
  7. JamiiForums Tanzania ๐Ÿšจ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐——๐˜‚๐—ผ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ! ๐—ฆ๐—ธ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ญ๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ, ๐—ง๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ก๐—ถ ๐—ก๐—ถ๐—ป๐—ถ? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ“ฑ

    Baadhi ya watumiaji wa iPhone Duo wameripoti matatizo ya skrini ya ndani kupasuka, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu eneo la bawaba (hinge) linalosaidia simu kukunjika. ๐Ÿ”๐Ÿ“ฑ Dalili zilizoripotiwa ni pamoja na: ๐Ÿ’ฅ Skrini kupata mistari ya mwanga mweupe. โš ๏ธ Mistari ya pikseli kuharibika karibu na...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—ž๐—ข๐—ก๐—”๐— ๐—œ ๐—ฌ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ข๐—ป๐˜†๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฒ๐—™๐—ผ๐—ผ๐˜๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—น ๐— ๐—ผ๐—ฑ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฑ

    Kama wewe unatumia Game la Efootball Ambalo ni offline modded basi Kuna Habari mbaya kwako ๐Ÿ˜ƒ KONAMI imetoa onyo kali kwa watumiaji wa Modded eFootball na programu zisizoidhinishwa zinazobadilisha mfumo wa mchezo. Ukiukaji wa masharti unaweza kusababisha akaunti yako kusimamishwa au kufungiwa...
  9. JamiiForums Tanzania ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—›๐—œ๐—ฃ ๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—œ๐— ๐—จ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ: ๐—ฆ๐—ก๐—”๐—ฃ๐——๐—ฅ๐—”๐—š๐—ข๐—ก ๐Ÿ†š ๐— ๐—˜๐——๐—œ๐—”๐—ง๐—˜๐—ž โ€” ๐—ก๐—”๐—ก๐—œ ๐—•๐—œ๐—ก๐—š๐—ช๐—” ๐—ช๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—Ÿ๐—œ? โš”๏ธ๐Ÿ“ฑ

    Uwanja wa teknolojia umewaka moto! ๐Ÿ”ฅ Qualcomm Snapdragon na MediaTek Dimensity zinaendelea kushindana kuleta chip zenye nguvu zaidi kwenye simu za kisasa. Lakini mwaka 2026, nani anastahili taji la bingwa? ๐Ÿ† โšก SNAPDRAGON: Inajulikana kwa nguvu za gaming, graphics na utendaji wa simu za...
  10. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ข๐—ก๐—ข๐—ฅ ๐—œ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ง๐—” ๐—ง๐—”๐—•๐—Ÿ๐—˜๐—ง ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—š๐—”๐— ๐—œ๐—ก๐—š

    Kama wewe mpenzi wa Games basi hii Tablet ni balaa ๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป HONOR imekuja na mashine ya gaming inayoweza kuwafanya gamers wengi kutamani kuimiliki! ๐Ÿš€ Kwenye HONOR WIN TABLET kilichopo ndani yake: ๐Ÿ’ฅ Snapdragon 8 Elite Gen 5 โ€” nguvu kubwa kwa gaming na multitasking. โ„๏ธ Feni ya ndani ya 15,000 RPM...
  11. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  12. JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Android

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  13. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  14. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—”๐— ๐—ฆ๐—จ๐—ก๐—š ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐——๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐Ÿ‘‹. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฑ Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  15. JamiiForums Tanzania ๐—›๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘ค

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘ Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. ๐Ÿ“ Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  16. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐—ฌ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐˜๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ ๐Ÿ˜€

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! ๐Ÿ”ฅ Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ ๐Ÿ“ฑ Kwa nini MP02 ni ghali? ๐Ÿค‘ Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 โ€” takribani TSh milioni...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda ukaanza kulipia app kwenye Android yako kwa jinsi unavyotumia

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! ๐Ÿ”ฅ Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  18. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  19. JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026. Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamuโ€ฆ lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! ๐Ÿ’€ ๐Ÿ‘€ 1. IMEI & LOCK Hakikisha IMEI...
  20. JamiiForums Tanzania ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—š๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—”

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ