bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Rais Samia: Nazunguka Ulimwengu Mzima Kutafuta Fedha Kuwawezesha wanawake Wa Afrika Wapate Nishati Bora ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa amesema ya kuwa ajenda ya nishati bora ya kupikia ni ajenda ya Afrika na ni ajenda ambayo ameianzisha yeye na yeye ndio champion katika kuchochea ajenda hiyo. Amesema ya kuwa anazunguka Ulimwenguni kwote kutafuta fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanawake...
  2. Lishe bora ni sayansi

    Habari wanajf, Kula ugali kuna faida kadhaa za kiafya zaidi ya zile nilizozitaja awali: 1. Kontrola ya Uzito: Ugali unaweza kusaidia katika kudhibiti uzito kwa sababu ya ukamilifu wake na uwezo wake wa kutoa hisia za kujaza haraka. Hii inaweza kusaidia kuzuia ulaji wa ziada. 2. Ukolezi Bora...
  3. M

    Dkt. Samia atajwa Rais Bora Afrika 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023 Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA. Tuzo hii muhimu inadhihirisha uongozi wake wa kipekee na mafanikio makubwa...
  4. Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  5. E

    Niligundua ni bora kuongozwa na Sukuma gang kuliko CHADEMA

    Misimamo ya Sukuma gang ipo wazi Demokrasia sio kipaumbele ni kazi tu CHADEMA hawana chochote wanachosimamia ,haijulikani wanapinga ufisadi au la
  6. S

    Mke bora anahitajika

    Habari ndugu zangu, Waswahili wanasema katika maisha ni muhimu kuwatafutia wanao mama aliye bora. Na hivyo bila hiana nimeona humu JF naweza pata mke bora maana naamini humu watu wenye sifa ya kuwa wake bora wapo wengi hivyo kama una sifa hiz karibu; 1. Uwe muislamu 2. Uwe na rangi atlest...
  7. Nadhani kabla ya kuwalaumu NHIF ni bora kuyajua na kujiuliza haya

    Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata . Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF . Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali...
  8. Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

    Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo. Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto...
  9. S

    Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
  10. U

    Spika bunge Lebanon aiambia Israel kuwa Kisasi kinakuwa Chakula Bora zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

    NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold) Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha Mashariki ya kati Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
  11. Jemedari na Oruma wametubu kuwa Yanga ni bora.

    Muda wa kutubu ! "Unajiuliza ! Kama Azam mwenye quality hii anataabika hivi licha ya kuanza pre-season mapena, sijui zile timu zetu zinazoanza maandalizi 1/8 na usajili umejikita kwa wazawa tu itakuwaje!!! " ©️ Tigana Lukinja Mchambuzi wa Efm Radio. "Kwa jinsi nilivyoangalia mechi za ngao...
  12. J

    Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

    Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
  13. Msimu huu tutaishuhudia Simba bora kabisa

    Bandiko hili ni maalum kwa mashabiki wa soka na sio mashabiki fashion na mihemko walioletwa na kina Haji manara, aziz k na hamisa huko instagram, Betpawa and the like. kwa hizi mechi mbili nilizoishuhudia Simba ikicheza ni dhahiri kuwa kuna mabadiriko makubwa ya kiuchezaji na viwango vya...
  14. L

    Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
  15. Mke bora na heshima kwa mwanaume

    Ni ukweli usiopingika mwanamke mzuri wa sura na umbile ni ndoto ya kila mwanaume,tena akiwa smart kichwani na elimu kwa mbali ndiyo kabisa. 1. Unajiamini kumtambulisha popote na kwa yeyote huku ukikenua meno yote na kujipiga kifua kwakuwa upo na mtu unayempenda kwa dhati na unaweza kuambatana...
  16. Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  17. Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  18. J

    SOMO: NAMNA BORA YA CHANJO ZA KUKU CHOTARA

    1. Baada ya kuanguliwa , Chanjo ya Marek's na Dawa HVT, Namna: sindano 2. Siku ya 2 hadi 6 KINGA ya Pullorum, Dawa: Trimazine 30% plus Vitamin, Namna: Maji 3. Siku ya 7, Chanjo ya Mdondo/Kideri (Newcastle), Dawa: Newcastle vaccine [LASOTA] Namna: Maji 4. Siku ya 14, Chanjo ya Gumboro, Dawa...
  19. Shule zangu 3 bora za serikali mkoa wa Dar es Salaam

    Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam. Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka kumuhamisha nashauri uwapeleke shule hizi Shule hizi zinaongoza kwa kufanya vizuri katika mitihani...
  20. Naomba kujuzwa namna bora ya kupata fremu Kariakoo

    Wasalam wana Jamvi. Naomba kwa wataalam wa Kariakoo mnipe namna bora ya kupata Fremu kariakoo maana Naona madalali ni wengi nisije kupigwa hela yenyewe ya Mkopo hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…