bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Pombe za bure

    Duh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
  2. Kuomba msaada wa bure kwa Fatma Karume. Je, Fei ameshindwana na wakili wake au hamuamini?

    Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
  3. Kama Elimu ni bure, kwanini Afya pia isiwe bure?

    Elimu ni bure . Afya nayo kwanini isiwe bure? Naomba kufahamu serikali ilichukua kipaumbele gani kutoa elimu bure na sio Afya.
  4. G

    Sitaki kukumbuka matapeli wa kanyaboya. Niliwapa hadi simu yangu ili nikomboe pesa niliyopewa kununua bia za baba, mshua alinitembezea kipigo kikali

    2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar. Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii. Nilipita sehemu...
  5. B

    Dodoma: Mavunde afanikisha huduma ya Bure ya wenye matatizo ya macho. Kijana aliyeacha masomo kwa tatizo la kutoona apona, aahidi kumsomesha

    MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
  6. Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  7. Elimu bure bado ipo?

    Nimepita huku kijiweni Baba mmoja hapa Dar anadai kutozwa Elfu4 kwa wiki kwa ajili ya chakula, 500 kwa ajili ya maji, 500 kwa ajili ya mlinzi, na alilipa 1,000 kwa ajili ya kitasa cha mlango (Kiliharibika wakatakiwa kuchangia). JUMLA 6,000. Baba huyu anadai anakaa na watoto 3 na kila mtoto...
  8. R

    Zuwena wa Diamond kioja cha Mwaka, nimempenda bure

    Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni. Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake. Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba...
  9. M

    Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

    1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali. 2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
  10. Milioni 23 za bure kutoka ubalozi wa Marekani kwa wenye mawazo ya miradi (AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND)

    Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu. Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa. US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
  11. Kwa niliyoshuhudia leo. Jamani tuwaheshimu sana Hawa watu. Tusije pata dhambi za bure tu

    DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa. Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
  12. Magonjwa ya Usubi, Matende na Mabusha, Yanazuilika na Yanatibika!, Tujitokeze kwa Wingi Kupata Kinga, Wagonjwa Wajitokeze Kupata Tiba Bure

    Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa". Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
  13. Scholarship hii hapa ya bure kabisa

  14. Sera ya CHAUMA ya ubwabwa wa bure wakati wake ndio huu

    Bwana Hashim Rungwe yeye hana makubwa. Sera za chama chake ni ubwabwa tu. Wakati huu mchele unapopanda bei n kutoshikika, wakati wa ubwabwa ndio huu.
  15. Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  16. R

    Wanaomchukia Tundu Lissu wanaumiza nafsi zao bure

    Kiukweli hili jambo linashangaza sana. Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu. Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa...
  17. Bure Series

    Karibu ujisomee Simulizi Fupi zaidi ya 500 Bure Series
  18. Ukienda katika usaili wa Utumishi hakikisha, una kitambulisho chochote, nakala au namba ya NIDA hazifanyizi kazi

    Kama Unaenda usaili wa utumishi hakikisha,una ID YOYOTE,COPY AU NAMBA YA NIDA HAZIFANYZI KAZI,UTAPOTEZA PESA NA MUDA WAKO BURE
  19. Ufaransa kugawa Kondomu bure kwa Watoto na Vijana

    Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto. Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
  20. StarTime kwanini mmefunga Channel za Bure

    Nasikitika sana hawa StarTine wamenifungia Channel zote isipokuwa TBC tu. ITV hakuna STAR TV hakuna Channel Ten hakuna na nyingine Nilipowapigia wakaniambia wanafanya ukarabati kisha watarejesha baadaye ila tu naweza kulipia kiasi ili niweze kuziona Channel hizo. Ujumbe huu ukanifanya nielewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…