bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
  2. Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  3. N

    Serikali ya Samia imeboresha lengo lake la Elimu bure

    Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
  4. SoC02 Elimu Bure Imeifikisha hapa Sekta ya Elimu

    Utangulizi Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka mitano (2016-2020) ya utekelezaji wake, Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa katika shule zote hapa nchini...
  5. K

    Ushauri wa bure kwa PSRS

    Juzi kati ilibidi nigombane na ndugu yangu baada ya kunipigia ghafla akiniomba nauli ya kwenda kwenye usaili wa psrs huko Dar. Kwa kifupi ndugu yangu huyu alinishtukiza na sikua na kitu mfukoni, hivyo ikabidi niingie madeni kwa kumkopea pesa mahali. Ushauri wenyewe ni huu: Nashauri kwamba...
  6. Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  7. Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

    Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia. Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
  8. Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  9. Ushauri: Kuelekea bima ya afya kwa wote, serikali iweke tozo maalum kwenye sigara, pombe, soda ili mama na mtoto watibiwe bure

    Haina shaka kwamba pombe na sigara, soda na vinywaji aina yake, na pengine sekta ya madini, ndio visababishi vikubwa vya maradhi. Visababisha maradhi basi viwe na mchango katika tiba. Serikali ikae ifanye tathmini ili kujua endapo itaongezwa shilingi 100 kwa kila kinywaji, itapatikana shilingi...
  10. T

    Tuwe wakweli kwa hali ya kimpira tuliyo nayo Tanzania, kuajiri kocha MGENI ni kumzawadia mihela ya bure tu

    Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa tuliyonayo sasa ni uharibifu wa mali za umma kuleta kocha Toka mataifa ya kigeni. Kama wadau wako serious...
  11. Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  12. Serikali kuongeza vituo 2000 zaidi vya WiFi ya bure nchini humo

    Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali kama vile usajili wa Vitambulisho vya Taifa Hadi sasa...
  13. D

    Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
  14. Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Hello wanajamii forums, Ni wiki kama mbili sasa tokea kutumia zile apps za wire tun, Thor VPN na HA Tunnel zinazotoa huduma ya free internet kutoka servers za mbali kama vile UK, US, German e.t.c Simu yangu iliyotoka kiwandani ikiwa na 6000 mAh, ambayo ilimaliza siku 3 pasipo kuchajiwa kwa...
  15. Tunacheleweshana bure na maendeleo ya Taifa yanachelewa

    Ndg wanajukwaa kumekuwa na tabia ya ubaguzi ktk utoaji mikopo ya manispb kwa vijana.Mfano hai ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Miaka mi3 nyuma niliunda kikundi tukaakisajili, tukafungua akaunti tukandaa mchanganuo. Kabla hawajatutembelea ikaibuka hoja dhaifu eti miongoni mwa barua ipitie...
  16. Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
  17. K

    wadau naomba maneno ya wimbo " WAMTETEA BURE" wa KIKO KIDS mtunzi SALUM ZAHORO

    wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
  18. R

    Ushauri wa Bure kwa Waziri Ummy Mwalimu kuhusu NHIF

    Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa NHIF .Mambo mengi haya unayajua ila naweka msisitizo . Kwa kifupi sipendi waziri uwe Chanzo cha...
  19. Chicharito yupo tayari kucheza Man United bure ili kuokoa jahazi la ushambuliaji

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji Chicharito, 34, aliyefunga magoli 59 katika mechi 157 akiwa United kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani amesema...
  20. M

    Kama Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu matibabu, basi yawe bure

    Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…