chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho.. haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
  2. Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  3. Kama Lissu akiendelea na chokochoko afukuzwe tu, chama ni kikubwa kuliko yeye

    Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
  4. T

    Pre GE2025 Tutegemee muda si mrefu mzee wa victoria akahama chama kisa vipande vya thumni

    Save this post!!!!!! Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni. Save the post!!!! Kinachosubiliwa ni muda tu ufike mheshimiwa tu save the date!!!
  5. CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  6. Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

    Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS Hongera Mwabukusi
  7. CHAMA LANGU PAMBA JIJI MNACHOENDA KUFANYA NI KUIGAWA VIPANDE VIPANDE TIMU

    Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo. cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake mkuu kupitia kinywaji chake kipya cha juice. Tunajua timu nyingi za Tanzania zina hali mbaya...
  8. Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  9. M

    Watanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani

    Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala. Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo: 1: Act Wazalendo ,wako zaidi Tanzania Visiwani 2: Chadema kimenenea baadhi ya mikoa...
  10. R

    CHADEMA msitoke kwenye reli, acha wateuane _watengueane kazia ajenda zenu za kitaifa na chama chenu.

    Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu. Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa. Erythrocyte
  11. D

    Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

    All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except; DUBE This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost his aggressiveness that he used to have in Azam. I hope he improves. DUBE can't press sio Yanga...
  12. Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  13. Kwanini Republicans haialiki wazee wa chama chao kama CCM?

    Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau kutajwa tu katika mkutano wao mkuu wa chama?
  14. A

    KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  15. Aliyejaribu kuumua Trump alikuwa wa chama chake Republican ila alichangia chama cha Democratic

    Records show he was registered as a Republican voter in Pennsylvania, but previously made a $15 donation to a Democratic aligned group, Source Meg Oliver CBS News, Ila wa hapa wanadhani Lissu haweizekani kuwa alishambuliwa na wenzake
  16. Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  17. Chama cha walimu na maslahi ya Mwalimu

    CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi. Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
  18. Feisal alimkimbia Aziz Ki, Aziz ki anamkimbia Chama

    Fahari wawili hawakai zizi moja, kipindi Feisal yuko Yanga kuna watu walimuona Aziz ki ni wa kawaida sana, ila kiukweli Feisal alikuwa akipambana mno, waliishia kutupiana majeen tu, Feisal akaona akimbie kuepusha shari, Sasa Aziz ki anaogopa kufunikwa na kivuli cha Chama, asije tena kuonekana wa...
  19. W

    Baadhi ya Makada wa Chama cha Democrats wataka Biden Asigombee Urais

    Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya kushindwa kutetea hoja zake kuonesha hali ya kusita na sauti kukwama mara kwa mara na kushindwa...
  20. Arusha: Avuliwa uongozi ndani ya chama kutokana a ubadhirifu wa fedha

    Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi. Aidha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…