Habari zenu humu, naombeni mnisaidie connection ya kazi Nina degree ya mechanical engineering, nimetoka mkoani nimekuja dar kutafuta kazi, Nina familia ,imebidi niiache nije kupambana huku, nakosa hata nauli
Msaada wenu Wana jf ,kazi yoyote halali , Storekeeper,warehouse, Service Engineer,n.k...