faustine mafwele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?

    Wakuu, Mafwele ndio aliyetoa taarifa ya wafanyalazi wa LBL kukamatwa Dar akiwa kama Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar. Mpaka anakaimu inamaanisha nafasi ya Kamanda iko wazi, je Muriro anahamishwa na nafasi hiyo anakuja kuchukua Mafwele? Pia soma: Wafanyakazi wengine 26 wa...
  2. Wafanyakazi wengine 26 wa LBL wakamatwa Dar. Faustine Mafwele atoa tamko!

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kibali cha BoT, wakiwemo wafanyakazi wa Kampuni ya Leo Burnett London (LBL) na mkurugenzi wao, Najim Houmud. Watuhumiwa hao walikamatwa kati ya Februari 18...
  3. F

    Hivi kwa tuhuma za Boni Yai na tuhuma za ACP Faustine Mafwele nani anastahili kufuatwa kwa mitutu na mbwembwe za Polisi?!

    Mimi ni Mwana CCM lakini wakati mwingine naona hadi aibu nikiwa na Watu wenye akili around! Kwanza Hongera sana Comrade Balozi Dr.Emmanuel Nchimbi kwa press uliyofanya hivi karibuni! Nimekubali kwamba ni kweli umekomaa na uliandaliwa vizuri ndani ya CCM kupitia UVCCM! Hayati Mkapa aliona kitu...
  4. D

    Ushauri: Kamanda Faustine Mafwele mfungulie kesi Sativa

    Bandugu, mhanga wa utekaji, uteswaji na uuaji Sativa aliyeokotwa huko Katavi amemaliza ugomvi na kufungua sintofahamu kwa nani aliyemteka, kumtesa na kumtupa porini baada ya kumpiga risasi ya kichwa. Sativa amejitokeza hadharani na kumtaja kuwa Kamanda wa Polisi, ACP Faustine Mafwele wa...
  5. Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  6. Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

    Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya wakosoaji/ wanaharakati wa siasa. 1. Namna alivyomtambua ZCO MAFWELE Siku ya kwanza nimeongea story...
  7. Pre GE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
  8. Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

    1. Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan. 2. Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Hamad Masauni. 3. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Mongoso Wambura 4. Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Juma 5. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Nkunda 6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…