Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha moja tu, nayo ni kandanda.
Kwanini nimesema haya na kwanini nimesema sasa, baada ya Mchezaji wa...