Habiri wanaJF,
Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi.
LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua.
Natanguliza shukrani