Unamuuliza hakujibu,
Shida nini hakujibu
Umekosea wapi!? Hakujibu
Yani yupo kama yupo tu!?
Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.
Unamaliza , yupo tuu..
Yani yupo tu.
Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.
Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?