Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
 
Ilaa ukiwa CCM ,,au basii...
FB_IMG_1748852351669.jpg
 
Tafuta sehemu nyingine ya kwenda KUFANYA Ibada,nenda hata kwa Mzee wa upako au mwamposa,kwani lazima UENDE kwa Gwajima?

Achana na muhuni
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.

Dogo. Gwajima ni jeshi la Mtu Mmoja. Hacheki na kuogopa Kima wala Mbwa Koko. Anapiga kwa hesabu sana. Haogopi mikwala yenu ya kishetani na woga. Huyu si SheUbwabwa.
 
Wakati wa magufuli hawakufanya hivyo kwakua ni mkristo mwenzao, ameingia Muislamu ndio wanaleta kelele.

Hawatakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Serikali ilichelewa saana ,hivi inakuaje serikali iliweza kuvumilia mhuni anaedanganya wananchi kuwa anafufu walikwishakufa?
 
Huyu hana uponjoro hata nusu. Yupo na sura yake ngumu kama goti la kiwete. Kuvaa yu kipedo na kufuga ndevu anajiona yeye Mwarabu

Ustaarabu wenyewe mmeletewa na waarabu, kwani nani hajui wengi wenu mnajisaidia then mnafutia tishu, makaratasi n.k! Mzungu amewaharibu sana
 
Dogo. Gwajima ni jeshi la Mtu Mmoja. Hacheki na kuogopa Kima wala Mbwa Koko. Anapiga kwa hesabu sana. Haogopi mikwala yenu ya kishetani na woga. Huyu si SheUbwabwa.
View attachment 3353967
Mwache ajitoea UFAHAM,barua imetoka hadi kwenye VYOMBO vya habari vya nchi hii kwa uthibitisho yeye anasema mitandao?

Atajui hajui kima huyo
 
Unaweza kumfungia mtu mahali, lakini huwezi kumfunga fikra zake , wazo au mwamko wake . Na labda, kwa kejeli, nikukukumbushe, hata Yesu alinyamazishwa kwa muda… lakini mwisho wa siku, dunia nzima ndo inamzungumzia mpaka sasa.

Kwa hiyo endelea kushangilia msimu wa mvua ukidhania jua limekufa. Majira hubadilika, na historia huwa na tabia ya kucheka mwisho.
 
Utaabika sio muda,kanisa halijafungiwa wewe cdm tulia
 
Wengine wabishi wanaishi hata kwenye udongo wa tope
 
Back
Top Bottom