Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

Kumbe hata watanzania baadhi wanapenda kuona tukifa kama kuku ww Fara unajiita BIG SHOW

Yule muhuni serikali imemlea sana

Na alijiona ni untouchable pimbi yule,sasa akatafute BIASHARA nyingine.
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
wewe big show uko tayari kutoa hilo tako lako kubwa kama mamlaka inayokuongoza ilikitaka au utatunisha misuli kulinda heshima yako? Point ni kua sio kila isemacho au ifanyacho hiyo mamlaka ni sahihi kwa hiyo wakubali kukosolewa wapokua hawako sahihi
 
Wewe ungekuwa na akili usingethubutu kuamini kuwa yule FALA anafufua WAFU
 
unaijua katoliki wewe? Jaribuni tu hata kufikiria kulifutia usajili mtafutwa nyie. Msijaribu hata kufikiria iishieni kwenye makanisa ya kina gwajima, makanisa ya dar tu

Sasa SI wajaribu tuone?
 
Wakati wa magufuli hawakufanya hivyo kwakua ni mkristo mwenzao, ameingia Muislamu ndio wanaleta kelele.

Hawatakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
Kwani anayokemea huyu bwana gwajiboy ni ya uongo?

Juzi muislamu mwenzio kiongozi wa dini yako kapotezwa zenji, kwako hiyo ni sawa?
 
UCHOCHEZI hatuutaki ndani ya nchi hii,Kuna kukemea mambo na Kuna kuchochea mambo,
 
Labda mumteke,dunia ya leo ngumu kumnyamazisha mtu kirahisi hivyo.

Atarusha maudhui tokea kwake na vidonge mtavimeza vizuri.

Kuna makanisa mengi tu ya mikobani yana usajili na hayafanyi huduma yoyote,atachukua moja na kurudi hapohapo kwa jina jingine.😁

Kampeni za uchaguzi ni platform nyingine babkubwa atatimkia chama kingine na spana zitaendele.
 
Jamaa wewe ni mpumbavu sana. Kwenye kuuwa ni sawa na ndiyo mnapenda wana wa ibilisi. Ataongea tu mbona Lisu mlimpiga risasi kumnyamazisha lakini bado anaongea mmempa kesi ya uhaini ili mumnyonge now. Akili za kipumbavu mnawaza kuuwa tu watu. Ila lidini lako linaruhusu kuuwa sababu lipo nyuma ya SHETANI
 
Akirusha maudhui ya UCHOCHEZI labda ahame nchi,akiwa ndani ya nchi sheria ya TCRA Chaap inamdaka...

Kwa ufupi Gwajima kayatimba
 
Jamaa wewe ni mpumbavu sana. Kwenye kuuwa ni sawa na ndiyo mnapenda wana wa ibilisi. Ataongea tu mbona Lisu mlimpiga risasi kumnyamazisha lakini bado anaongea mmempa kesi ya uhaini ili mumnyonge now. Akili za kipumbavu mnawaza kuuwa tu watu. Ila lidini lako linaruhusu kuuwa sababu lipo nyuma ya SHETANI

Jamaa YENU kayatimba,na SUALA la dini kinakujaje?

Gwajima hajafungiwa na waislam,kafungiwa na serikali sasa hasira zako usilete kwetu sisi
 
Labda mumteke,dunia ya leo ngumu kumnyamazisha mtu kirahisi hivyo.

Atarusha maudhui tokea kwake na vidonge mtavimeza vizuri.

Kuna makanisa mengi tu ya mikobani yana usajili na hayafanyi huduma yoyote,atachukua moja na kurudi hapohapo kwa jina jingine.😁

Kampeni za uchaguzi ni platform nyingine babkubwa atatimkia chama kingine na spana zitaendele.

AKIRUDI kivingine tutamfunga yeye sasa,
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.

..CCM iliyowatesa ndugu zako wakati wa sakata la gesi ya Kusini, ndiyo hiihii inayoteka, na kuuwa, wanaharakati na wapinzani. Mbona unakuwa mwepesi kusahau, na unashindwa kusimama upande wa HAKI?
 
Jamaa YENU kayatimba,na SUALA la dini kinakujaje?

Gwajima hajafungiwa na waislam,kafungiwa na serikali sasa hasira zako usilete kwetu sisi
Wewe ni mpumbavu kwani watu wanavyouwawa unamkasilikiaje gwajima kwa kukataa kwake watu wasiuwawe. Na wewe siku zote unashangilia mauwaji na utekaji Sasa si dini lako linakuhusu kuuwa. Dini ya gwajima hairuhusu ndiyo maana anakemea adharani.
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Bakwata mnazidi tu kujidhalilisha kwa kumkumbatia mtu aliyekataliwa na Mungu kuitawala Tanganyika. Eti kisa tu ni wa dini yenu! Yaani mtu anaua, anateka, anatesa, anafunga, anaiba, nk! Maovu yote hamyaoni, kisa tu ni ndugu yenu katika imaan!!
 
Kwani anayokemea huyu bwana gwajiboy ni ya uongo?

Juzi muislamu mwenzio kiongozi wa dini yako kapotezwa zenji, kwako hiyo ni sawa?

Sio sawa hata kidogo, je! Aliefanya hivyo ni SSH? Je! Kama ni chadema wenyewe wamefanya ili kumchafua mama!

Aliefanya mauwaji hayo awe Muislamu au mpagani basi malipo atayakuta kwa Mola wake, ni dhambi kufanya hivyo

وَلَا تَقْتُلُوا النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ ۗ وَمَنْ قُتِلَ مَظْلُومًا فَقَدْ جَعَلْنَا لِوَلِيِّهِ سُلْطَانًا فَلَا يُسْرِفْ فِي الْقَتْلِ ۖ إِنَّهُ كَانَ مَنْصُورًا
Al-Isra'(The Journey by Night)

Wala msiuwe nafsi ambayo Mwenyezi Mungu amekataza isipo kuwa kwa haki. Na aliye uliwa kwa kudhulumiwa basi tumempa madaraka mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye anasaidiwa.
 
Back
Top Bottom