Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

Inamaana jeshi la polisi na intelijensia yote wamezidiwa mbinu za kuwakama hao CHADEMA ?
Hakuna Jeshi duniani limeweza zuia raiya kudhurina wao kwa wao kwa asilimia Mia moja
 
Hoja za kipuuzi kama umejaza mavi kuchwani, ila furaha yako si ya kudumu ingawa hutokuja kushuhudia hapa.
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
yaani wewe na faiza ni members wa muda mrefu humu pamoja na maarifa mengi mnayopata humu bado mnatumia udini kama turufu yenu.
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Mnashadadia ili muendelee kumwaga damu za watu ila hazitawaacha salama hizo damu lazima ziondoke na nyie huu mwaka
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Naomba niulize swali vita ya serikali na Gwajima ni dhidi ya nini? Serikali inapigania nini?
 
Wasio na Mungu wanafurahi damu ikimwagika. Tumeingiwa na utawala unaopenda kumwaga damu.
Kwa bahati mbaya tuna mashabiki wa umwagaji damu.
Lakini walio na Mungu lazima wapaze sauti zao kukemea umwagaji damu ni laana.
Tunajua mkuu hujali km ulaaniwe au usilaaniwe wewe ni shabiki na mdini.
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Mkuu ukiondoa chuki zako dhidi ya Gwajima na furaha yako juu maumivu ya waliotekwa tuambie kwa mujibu katiba yetu na sheria kosa la Gwajima ni nini??? Kwa kweli uchawa ni kitu kubaya mno!!!
 
Wakati wa magufuli hawakufanya hivyo kwakua ni mkristo mwenzao, ameingia Muislamu ndio wanaleta kelele.

Hawatakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
Unslijua jina la Bashite? Unajua liliibuka kipindi gani?
 
Back
Top Bottom