Utaabika sio muda,kanisa halijafungiwa wewe cdm tulia
Ngoja ashonwe bila ganzi
Luka 13:32Mwache ajitoea UFAHAM,barua imetoka hadi kwenye VYOMBO vya habari vya nchi hii kwa uthibitisho yeye anasema mitandao?
Atajui hajui kima huyo
Ona hili nalo ponjoloWakati wa magufuli hawakufanya hivyo kwakua ni mkristo mwenzao, ameingia Muislamu ndio wanaleta kelele.
Hawatakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
Yeye si anasema anafufua WAFU?
Tuone ataenda kufufulia hao WAFU wapi sasa.
Hivyo vikundi SI alisema vinapata baraka kutoka juu??Dogo. Gwajima ni jeshi la Mtu Mmoja. Hacheki na kuogopa Kima wala Mbwa Koko. Anapiga kwa hesabu sana. Haogopi mikwala yenu ya kishetani na woga. Huyu si SheUbwabwa.
View attachment 3353967
Endelea kukenulia Utekaji ukidhani uko salamaFriends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.
Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.
Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.
Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.
Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?
Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?
Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Wakati wa magufuli hawakufanya hivyo kwakua ni mkristo mwenzao, ameingia Muislamu ndio wanaleta kelele.
Hawatakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
Shetani hana RafikiHivyo vikundi SI alisema vinapata baraka kutoka juu??
Sasa tunataka tuone sasa,yeye si nunda?
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.
Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.
Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.
Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.
Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?
Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?
Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Ninacho jiuliza hivi ni faida gani mnaipata mnapo teka na kuua watu?kisa mnataka kubakisha watu waendelee kuiibia nchi ?Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.
Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.
Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.
Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.
Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?
Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?
Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Hivyo vikundi SI alisema vinapata baraka kutoka juu??
Sasa tunataka tuone sasa,yeye si nunda?
Ninacho jiuliza hivi ni faida gani mnaipata mnapo teka na kuua watu?kisa mnataka kubakisha watu waendelee kuiibia nchi ?
Thubutu!Na kanisa tumelifunga....