Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Safi sana
Ustaarabu wenyewe mmeletewa na waarabu, kwani nani hajui wengi wenu mnajisaidia then mnafutia tishu, makaratasi n.k! Mzungu amewaharibu sana
Huu ndio.ukweli
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Wee akili kisoda kweli, una uwezo mdogo wa kufikiri acha wenye akili kubwa tupambanie ukweli na haki
 
Kufungwa kwa KANISA la kichawi lile la kufufua WAFU na misukule huoni haja ya kuipongeza serikali?
 
Kuna kanisa kubwa litapaza sauti ki namna, hamtadhubutu kulifutia usajili, mkijaribu tu mnafutwa nyie
 
Kumbe hata watanzania baadhi wanapenda kuona tukifa kama kuku ww Fara unajiita BIG SHOW
 
Tulipoambiwa wewe ni kichaa tulibisha ila sasa tumeamimi wewe ni majinuni na uzi wako unathibitisha hilo
 
Friends and Our Enemies,

Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu.

Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali bila staha wala adabu kwa kile anachokiita kuwa ni kueneza neno la Mungu.

Sasa kwa kuwa hakuna Marefu yasiyo kuwa na ncha Leo hatima yake imefikia.

Siku zote watu wanasema nguvu ya mamba ni kwenye maji,au samaki UKIMTOA kwenye maji hawezi kuogelea.

Kwa kuwa sehemu yake KUBWA ya kuogelea na kutamba ni hapo kanisani kwake,sasa tunataka tuone JEURI ya kutamba kwa sasa ataipeleka wapi?

Unaweza vipi itunishia misuli mamlaka ambayo inakuongoza,unajionaje kuwa wewe ni mtu ambae haushikiki au kuzuiliwa?

Umekosea yote sasa,umekosa kanisa,umekosa siasa na umekosa MAOKOTO NA KUFUFUA MIZIMU.
Gwajima kasema hadi hapa, kila mtu anamjua anaetuma watekaji.
Hoja haipigwi rungu
 
Back
Top Bottom