harambee

Harambee is a Kenyan tradition of community self-help events, e.g. fundraising or development activities. The word means "all pull together" in Swahili, and is the official motto of Kenya, appearing on its coat of arms. The word was assimilated into the Swahili language from Hindi at the time of the building of the Uganda Railway from Mombasa to Kampala. Indian labourers used the phrase "har har Ambey," or, "hail Ambey"–an exhortation to Amba, the Hindu Goddess – when performing difficult tasks that often required more than one person to be involved, such as lifting heavy loads.Harambee events may range from informal affairs lasting a few hours, in which invitations are spread by word of mouth, to formal, multi-day events advertised in newspapers. These events have long been important in parts of East Africa, as ways to build and maintain communities.

View More On Wikipedia.org
  1. Benni McCarthy's Kenya all the way to CHAN glory? Revealed! Millions of Rands Harambee Stars will get if he helps them win the tournament

    Kenya's Harambee Stars were placed in Group A alongside Morocco, Zambia, DR Congo, and Angola, which is a tough pool. Being the first time competing in the biennial competition was definitely not going to be a walk in the park for Benni McCarthy's men. Co-hosting the competition alongside...
  2. Pre GE2025 Mbunge atupele Mwakibete afanikisha kukusanya Milioni 27, harambee Kwaya ya KKKT usharika wa Kandete Mwakaleli

    Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo. Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi ambaye ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mwakibete...
  3. Kocha wa MAN U kuifundisha Harambee stars

    Shirikisho la soka nchini Kenya[FKF] linatarajia kumtangaza Benni Mccathy kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) mapema wiki hii. Mccarthy alikuwa nyota wa zamani wa kimataifa wa Afrika kusini na aliwahi kuzitumikia klabu kadhaa kama kocha mkuu kama vile Amazulu,Capetown...
  4. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  5. Shemsa Mohamed Ashiriki Harambee Kanisa la KKKT na Kuchangia Milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  6. Bashungwa Aongoza Harambee Jimbo Katoliki Bunda, Milioni 272.6 Zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
  7. J

    Bashungwa aongoza harambee jimbo Katoliki Bunda, milioni 272.6 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
  8. RC Chalamila ahimiza mfuko wa kwa ajili ya wasanii wa maigizo, Ofisi yake kutoa milioni 15

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kwa niaba ya serikali ya mkoa huo ameanzisha hamasa ya kuanzisha mfuko mahsusi kwa ajili ya wasanii wa 'maigizo' pekee ambapo kwa kuanzia itatolewa milioni 15 kwa ajili ya mfuko huo Chalamila ameeleza hayo leo, Jumatatu Novemba 04.2024 alipotoa...
  9. Mwakibete Aongoza Harambee Ndogo Busokelo Girls Sekondari, Atoa Milioni 15

    MWAKIBETE AONGOZA HARAMBEE NDOGO BUSOKELO GIRLS SEC, ATOA MILIONI 15 Mbunge wa Jimbo la Busokelo Atupele Fredy Mwakibete ameongoza harambee ndogo ya wazazi na walimu katika mahafali ya Tano ya shule ya Sekondari ya Wasichana Busokelo. Akiwa kama Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Kidato cha Nne...
  10. Mwenyekiti Mbowe itisha harambee tuwachangie polisi watakalinda maandamano kesho 23 Septemba 2024

    GTs, Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania. Nina wazo; Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao...
  11. Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa Ukumbi na Vyumba vya kulala Wageni Parokia ya Kasumo; zaidi ya milioni 45 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa. Harambee hiyo imefanyika...
  12. Bashungwa Aongoza Harambee ya Ujenzi wa Zahanati Kanogo, Milioni 46 Zakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA. Karagwe - Kagera. Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya Nyakabanga Wilayani Karagwe katika harambee ya kuchangia ujenzi na ukamilishaji wa zahanati ya...
  13. Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  14. K

    Pre GE2025 Makonda: Mwacheni Mbowe afanye tu harambee za Kanisani, na ili afanikiwe lazima aje kwa Watu wa CCM. Inawezekana ile 150m iliyotoka ilikuwa 200m

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
  15. Pre GE2025 Harambee ya Mbunge Yafanikisha Upauaji wa Madarasa ya Shule Shikizi Kiunda ya Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE iliyolenga kukamilisha kazi ya upauaji wa boma la Shule Shikizi Kiunda ya Kijijini Kamguruki, Kata ya...
  16. Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa kituo cha Masista, Milioni 237 yakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA KITUO CHA MASISTA, MILIONI 237 YAKUSANYWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha huduma cha Masista wa Shirika la Dada Wadogo kinachotarajiwa kujengwa eneo la Bagamoyo ambapo jumla ya kiasi cha Shilingi...
  17. CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  18. B

    Dkt. Samizi ashiriki harambee ujenzi wa Kanisa Jimboni

    Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa. Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
  19. Harambee Imefanikiwa Sana: Kisiwa cha Rukuba Chaanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    HARAMBEE IMEFANIKIWA SANA: KISIWA CHA RUKUBA CHAANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Kisiwa cha Rukuba ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya Etaro. Wanafunzi wa sekondari kutoka Kisiwani humo wanasoma nchi kavu kwenye sekondari ya Kata yao (Etaro Sekondari). Wanafunzi hao wanakumbuna na matatizo...
  20. Sugu akutana na Askofu Mwaikali. Ashiriki harambee ya Ujenzi wa Kanisa

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo. Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…