hela

  1. Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  2. Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  3. Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  4. Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela. Utaliona sokomoko, pindi ukiishiwa. Tena utakua kituko, na talaka utapewa. Utaitwa mbwa Koko, au...
  5. Msimpe Rais Samia Sifa na Utajiri asiokuwa nao, ni hela za serikali sio za Samia. Tuko salama kwa kudra za Mwenyezi Mungu si Samia

    Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si za Samia na hatimaye kupelekea kuibiwa hela ovyoovyo. Nchi ya Tanzania ina utajiri wa kutisha sana...
  6. Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

    Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu. Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4. Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza. Jana...
  7. Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu? Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo. Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
  8. Z

    Hospitali binafsi siyo wa pigaji wa hela kama wengine wanavyofikiria

    Kiukweli hospitali binafsi hazipati au kupiga hela kama wengine wanavyofikiria, tofauli na hospitali za Serikali ambazo zinapata ruzuku kutoka Serikalini pamoja mishahara kutoka hazina, private hospital zinajitegemea 100% katika kutoa huduma zote. Hakuna ruzuku yoyote wanayoipata kutoka...
  9. Jamaa graduate anaangaliwa na familia yote na njia za hela hana ana miliki vyeti

    Vijana wa hivi wapo wengi kwa sasa depression itatumaliza vijana
  10. Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  11. H

    Msaada NSSF - nahitaji kupata hela zangu

    Habarini ndugu JF. Mimi ni kijana ambaye nimemaliza mkataba kwenye shirika ambalo nilkuwa nikifanya kazi. Katika kufuatilia nilijulishwa kuwa kwa mtu mwenye elimu kama yangu "certificate" anaruhusiwa kupata pesa zake zote na sio 33.33%, Hivyo nilijaza fomu zote na kurejesha nikitarajia kwamba...
  12. Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  13. Hili tajiri lililokua linatoa hela kwa HAMAS limeuawa

    Hakuna anayesazwa... https://twitter.com/IDF/status/1737047329679482899?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1737047329679482899%7Ctwgr%5E65eabd3a6b41d8dd116685a17d936eaad3131cfb%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-hamas-war%2Farticle-778632
  14. Vijana mlio dhulumiwa pesa na TFF gomeni, ikiwezekana chomesheni mechi

    Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani. Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia. Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi...
  15. Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  16. Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya . Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
  17. Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

    Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
  18. Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  19. Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  20. Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

    Habari za jioni, Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…