hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

    Baad ya hotuba ya Humphrey Polepole usiku wa Jana, video hii ya John Pombe Magufuli imetrend Sana..
  2. JamiiForums Tanzania Akili za kuambiwa changanya na zako

    Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa vyama hivi vimewasilisha majina ya wanachama 36 kugombea nafasi hizo . Vyama vya Siasa...
  3. JamiiForums Tanzania Usizime Moto wa Gesi, Mafuta au Umeme kwa Kutumia Maji badala yake Tumia Njia Hizi

    USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI! Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi! Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au fire extinguisher inayofaa! Usalama kwanza, jifunze njia sahihi ya kuzima moto...
  4. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi huyu mwamba kuwapa watoto wake adhabu ya namna hii?

    😂
  5. JamiiForums Tanzania Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna wa kumshauri Samia? Hii inasikitisha

    Wasalaam. Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake? Hebu sikiliza kwa makini.
  7. JamiiForums Tanzania Mnataka huduma ya Fiber, changamkieni fursa hii

    Umuofia kwenu. Wale mnaosubiri huduma ya internet ya fibre huu uzi ni maalumu kwenu. Kuna kampuni ipo kasi sana inaitwa SAVANNAH FIBRE, ni kampuni inayojihusisha na kutoa huduma ya internet ya spidi ya Fiber. GHARAMA ZAKE 👉Kufungiwa ni BURE 👉Router unapewa BURE Wewe cha kufanya wapigie simu tu...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Aliyoyasema Lissu kwenye interview hii na Stanslaus Lambert ndio kinachomtokea Mpina na wapinzani muda huu

    Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda vyama vingine kugombea Ubunge kwani hata huko wanapoenda hawatachaguliwa. Anasema hapa, mamlaka za...
  9. JamiiForums Tanzania CHAN, Ligi Kuu ya England (EPL), Bundesliga na La Liga: Mechi za moto wikiendi hii

    CHAN: Leo katika dimba la Mandela itapigwa mechi ya mshindi wa tatu kati ya Sudan dhidi ya Senegal Mechi hii itachezwa kuanzia saa 12:00 jioni Jumamosi Fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) Madagascar vs Morocco - 🕕 Saa 12:00 jioni Jumamosi Premier League, mechi kubwa mbili...
  10. JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  11. JamiiForums Tanzania Kijana kama unajitafuta nunua nguo rangi hii

    Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi. Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema. Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu...
  12. JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi? Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
  14. JamiiForums Tanzania Hii story ya Barbara Hassan imenisikitsha. Nini husababisha majirani kuwa kimya namna hii?

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake. Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia katika malezi ya mtoto. Kumbe huyo dada alikuwa na tabia ya kumnyanyasa na kumtesa mtoto wake kwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ofa hamna anaetoa, mje kuchukua bure hii machine

  16. JamiiForums Tanzania Ikiwa wazazi wenu walisema siasa Mbaya na haifai leo hii mnawalaumu walioingia huko na sasa wanakula matunda

    Tuache kulalamika, MTU ameingia katika siasa, kakukbali kutukanwa , kubezwa n.k Na nyie mlisema siasa ni Mbaya Ila Leo hii mnalalamika nini sasa.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekujua jinsi ya kutatua hii changamoto ya Mfumo wa ESS anisaidie

    Nina changamoto ya kutumia mfumo huu wa ess nimeomba mkopo crdb bank week mbili zilixopita ili kupata mkopo ila kila nikifikia stage ya ku submit code namba kwenda utumishi inagoma na kuandika something went wrong .naomba msaada wenu mwenye uelewa zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Kuna App inashinda hii..?

    Hivi wakuu, kuna App inashinda hii kwa kuonesha majengo au maeneo mbalimbali bila kuacha kitu chochote.. hii App nakubali sana na inanisaidia kupima maeneo shambani kwangu kwa Acre/hekta pia nikisafiri nikiwa mji wowote inanifikisha eneo lolote bila kuhitaji Maafisa usafishaji(Bodaboda) Inapima...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  20. JamiiForums Tanzania Miliki nyumba hii kibamba shule Kwa 75 millions

    MILIKI NYUMBA NZURI KIBAMBA SHULE – MILIONI 75 TU!* Nyumba ya kuvutia inauzwa, ipo Kibamba Shule (1KM kutoka barabara ya lami). Sifa za Nyumba: Vyumba 3 (1 Master) Jiko + Dining Mabanda ya kufugia kuku (tayari kwa biashara ndogo) Fremu 3 za biashara (hazijamaliziwa) Eneo kubwa SQM 1300 –...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…