Mchekeshaji Andrew Ngonyani maarufu Braza K, amelikosoa Bunge akilitaja kuongoza kwa utoaji wa taarifa pasipo mpangilio wala utaratibu kuliko bunge zote ambazo amewahi kuzishudia akiomba mabadiliko, zaidi wampe mualiko ili awasilishe hoja hiyo Bungeni.
"Tokea nimeanza kuona Mabunge, hili...