Mara nyingi kumekuwa na fikra tofauti tofauti kwa watu juu ya 'kuwa hawala' katika mahusiano.
Kwahiyo swali linakuja, hawara ni yupi hasa kisheria?
Kwanza kabisa kama uko kwenye mahusiano mawili au matatu, wewe ni hawala.
Pili, kama unaishi na mwanaume ambae ameoa na hajavunja ndoa yake...