huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Ukishangaa ya Kawe, Utastajaabu ya huyu mwambo hapa. Mind you hii sio comedy show

  3. JamiiForums Tanzania Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu agomea kuhama, vitu vyake vyatolewa nje Siha

    Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao kutolewa nje, kufuatia uamuzi wa kumtaka mwalimu huyo kuondoka katika nyumba hiyo. Mwalimu huyo, Omary...
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ndie mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kujibu maswali ya waandishi

    Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
  6. JamiiForums Tanzania Je unamfahamu mtu huyu?

  7. JamiiForums Tanzania Hebu Tumsikilize Huyu Ndugu Kuhusu Continuity Cable

  8. JamiiForums Tanzania Aina gani ya kozi itamfaa huyu?

    Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo? Nina mdogo wangu kachaguliwa 1.IAA kozi ya Accountancy in IT 2. Transport and Logistics NIT 3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE. Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

    Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video... Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
  11. JamiiForums Tanzania Naomba msaidie huyu kijana

    Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?
  12. JamiiForums Tanzania Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  13. JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari

    Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana wengine, Na moja ya kazi niliowahi kuifanya ni kazi ya bodaboda, Ambayo mwisho wa siku...
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke amenipeti peti kama mtoto mdogo, simuachi

    Wakuu habari, Ijumaa iliyopita nilikuwa nimejichokea zangu kutokana na hekaheka za hapa mjini za kujitafutia mlo wa kila siku. Nikapata wazo, ili nikae sawa inabidi nitafute sehemu ya kwenda kupumzika nje ya mji. Ikabidi nichague mkoa mmoja ambapo mama mtoto wangu mmoja anaishi huko...
  15. JamiiForums Tanzania JE HUYU SALMAN NILESH NI NANI

    Naomba kujua huyu Salman Nileshi anaehusishwa kwenye sakata la John Heche n nani hasa na kwann anamsaidia Heche
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu harudii tena

    Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati. Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena. Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
  18. M

    JamiiForums Tanzania Umemuona huyu phd from udsm?

    Maphd wangapi wanaweza kufanya hivi?
  19. JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

    Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri, Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii Lakini demu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…