"Wengine wanasema Chama cha Mapinduzi ni chama cha wazee, waambie ndiyo hiki ni chama cha wazee na rika zote na hakibagui mtu yeyote.
Hawa wazee walikuwa vijana wa zamani, na walikuwa vijana machachali kuliko hata sisi. Hata mimi baada ya mika 20, 30 nitazeeka, nitaitwa mzee, uzee haukwepeki."...